[emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji28][emoji23]Taratibu kijana mji una wenyewe huo.... angalia usijepengeshwa kamasi. ...... wanaume wa huo wanakutizama tuu unavohaha.
Na ukilambishwa asali ndo utanena kwa lugha kabisaaa.....
Hata hivyo, karibu Tabora, ukitaka kula wali ulioungwa kwa karanga wee sema kinehe. .... mashika mashika mashilongo..... mpishi atakuelewa. Ukikwama urudi hapa kuomba msaada.
niko makini mkuu[emoji16]Kijana kuwa makini na miji ya watu......
mkuu naona [emoji23] [emoji16][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji28][emoji23]
....unaona nn chief?mkuu naona [emoji23] [emoji16]
Ushapandisha zile mamboz tena....aaagh!Taratibu kijana mji una wenyewe huo.... angalia usijepengeshwa kamasi. ...... wanaume wa huo wanakutizama tuu unavohaha.
Na ukilambishwa asali ndo utanena kwa lugha kabisaaa.....
Hata hivyo, karibu Tabora, ukitaka kula wali ulioungwa kwa karanga wee sema kinehe. .... mashika mashika mashilongo..... mpishi atakuelewa. Ukikwama urudi hapa kuomba msaada.
Mkiandikaga hivi "kuhamu" mnapandisha stimu huku...hasa wewe na Sakie...daah wallah tena!Shem nipooo nimekuhamu tu mm za wewe
lungha ina tabia ya kukua na kikopa maneno haha hahaha, taratibu utaelewaTotz chebwa chebwa, ndio lugha gani hii
[emoji16] [emoji23]Ushapandisha zile mamboz tena....aaagh!
tahadhari nayopewa....unaona nn chief?
Kwahiyo hii ni lugha gani inaykuwa sasa, chebwa chebwalungha ina tabia ya kukua na kikopa maneno haha hahaha, taratibu utaelewa
hili neno la kitaa zaidi tunapunguza ukali wa manenoKwahiyo hii ni lugha gani inaykuwa sasa, chebwa chebwa
Basi ni lugha ya kijamaica inayo kuwa si ndio unataka sema hivyo?hili neno la kitaa zaidi tunapunguza ukali wa maneno
mkuu umenikamata ni nyooshe maelezo si ndio [emoji23] [emoji23]Basi ni lugha ya kijamaica inayo kuwa si ndio unataka sema hivyo?
yes, kuwa makinitahadhari nayopewa
Basi usile waya, nyingine zina umeme, tuna chebwa chebwa moja basi tufaidi na sisimkuu umenikamata ni nyooshe maelezo si ndio [emoji23] [emoji23]
hapa nikinyoosha naweza kula waya
niko makini mkuu, ila hawa wa uhazili naona asiye na shabaha hapa hakosi kuua mnyama [emoji23]yes, kuwa makini
[emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23]Hata huko ulikotoka umewaacha au wote ni wanaume
Sema kweli jamani Aza na wewe nimekuhamu nani kakuficha jamaniMkiandikaga hivi "kuhamu" mnapandisha stimu huku...hasa wewe na Sakie...daah wallah tena!