1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Totoz chebwa chebwa,, mchele mdogo ila nyama nyingiiii,, totoz chebwa chebwa,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] picha bas tuone hao vyuraTotoz chebwa chebwa,, mchele mdogo ila nyama nyingiiii,, totoz chebwa chebwa,,,
mie sio wa tabora,, mie mtoto wa pwani,, lugha ya kawaida mkuu,, yaan namaanisha yale mambooo*Totoz chebwa chebwa, mchele mdogo nyama nyingiii* ni kilugha chenu hiki mimi sijaelewa!
hahaha hapana mkuu[emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] picha bas tuone hao vyura
noma sanaaMzigo mzito............. . ....... ... .. .?
Mwambie huyo[emoji86] [emoji86]Taratibu kijana mji una wenyewe huo.... angalia usijepengeshwa kamasi. ...... wanaume wa huo wanakutizama tuu unavohaha.
Na ukilambishwa asali ndo utanena kwa lugha kabisaaa.....
Hata hivyo, karibu Tabora, ukitaka kula wali ulioungwa kwa karanga wee sema kinehe. .... mashika mashika mashilongo..... mpishi atakuelewa. Ukikwama urudi hapa kuomba msaada.
ok, ngoja niongee nikishindwa ntarudi hapaTaratibu kijana mji una wenyewe huo.... angalia usijepengeshwa kamasi. ...... wanaume wa huo wanakutizama tuu unavohaha.
Na ukilambishwa asali ndo utanena kwa lugha kabisaaa.....
Hata hivyo, karibu Tabora, ukitaka kula wali ulioungwa kwa karanga wee sema kinehe. .... mashika mashika mashilongo..... mpishi atakuelewa. Ukikwama urudi hapa kuomba msaada.
mkuu picha tena [emoji16]Uzi huu bila picha ni sawa na ugali bila mboga
ok mkuuDah mkuu karibu tabora bhana kwa hilo wenge lako najua soon utatia huruma. Basi mambo yakienda kombo we nitafute nije kuokoa jahazi. Mi nipo tu hapa karibu ulizia kijiji cha Kalunde
Nakazia mjionee toto chebwa chebwa sio anawapa maneno tuWeka picha