Nimeingia Tabora leo hii, aiseeh Wanawake wengi mnooo, aiseeh wanaume wenzangu mnapona kweli?

*Totoz chebwa chebwa, mchele mdogo nyama nyingiii* ni kilugha chenu hiki mimi sijaelewa!
mie sio wa tabora,, mie mtoto wa pwani,, lugha ya kawaida mkuu,, yaan namaanisha yale mambooo
 
Dah mkuu karibu tabora bhana kwa hilo wenge lako najua soon utatia huruma. Basi mambo yakienda kombo we nitafute nije kuokoa jahazi. Mi nipo tu hapa karibu ulizia kijiji cha Kalunde
 
Taratibu kijana mji una wenyewe huo.... angalia usijepengeshwa kamasi. ...... wanaume wa huo wanakutizama tuu unavohaha.

Na ukilambishwa asali ndo utanena kwa lugha kabisaaa.....

Hata hivyo, karibu Tabora, ukitaka kula wali ulioungwa kwa karanga wee sema kinehe. .... mashika mashika mashilongo..... mpishi atakuelewa. Ukikwama urudi hapa kuomba msaada.
 
Mwambie huyo[emoji86] [emoji86]
 
ok, ngoja niongee nikishindwa ntarudi hapa
 
Dah mkuu karibu tabora bhana kwa hilo wenge lako najua soon utatia huruma. Basi mambo yakienda kombo we nitafute nije kuokoa jahazi. Mi nipo tu hapa karibu ulizia kijiji cha Kalunde
ok mkuu
 
Back
Top Bottom