Nimeingiza faida ya 1,092,600 baada ya siku 90 za biashara yangu

Biashara yataka moyo Sana kuna nyakati ngumu na nyakati nzuri pia
Mimi pia ninakijiwe changu kinaingiza kiwango kinachotaka kukaribiana nahicho ila tatizo Sasa ndio nategemea kwakila kitu ndio tatizo hilo ila nikipata kitega uchumi kingine nitatoboa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kamanda! Kwa uthubutu huo
 
Mkuu kuhusu mkoa mi niko Kanda ya Ziwa na nafanya biashara ya Chupi. nilianza na Chupi na wakati Naendelea nikawa naongeza vitu kidogo kidogo na still Naendelea kupambana nione Duka likifika umri wa mwaka itakuaje
[/QUOTE]
🤣🤣🤣🤣 yaani Makufuri mzee! baba! duuu! sasa ya kike au ya kiume? kwangu mimi ukitamka chupi akili inayeyuka inafunika nini vile! Boxer kwani hazimo?

Any way hizo peleka Kyaka kulee utapata hela sana!
 
Any way hizo peleka Kyaka kulee utapata hela sana![/QUOTE]Hivi mkuu duka la chupi wanasema akiuza mwanaume atapishana na Wateja ya kweli hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣 yaani Makufuri mzee! baba! duuu! sasa ya kike au ya kiume? kwangu mimi ukitamka chupi akili inayeyuka inafunika nini vile! Boxer kwani hazimo?

Any way hizo peleka Kyaka kulee utapata hela sana!
Hivi mkuu duka la chupi wanasema akiuza mwanaume atapishana na Wateja ya kweli hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Ni ya kweli nusu, fanya hivi, changanya wauzaji wawe vijana barubaru, both ''me'' na ''ke''

Wake za watu na wanaume umri wa kati watamfuata ''ke'' ili pia kuweka heshima kwa duka lako, ktk jamii uliyopo!

sababu wanaume sisi tuna wivu sana wake zetu kupewa huduma ya chupi na ''me'' eti akuangalie angalie huko chini, weee, atoe tathmini! mara ingia hapo kajipime! mweee!

Inauma waziwazi kwa mwenye mali, kwa muktadha huu, wewe kma mfanya biashara usimsababishie mteja maumivu, ila mteja /mke, yeye hayajui hayo! habari zitakapo fika kwa mwenye mali ndo mtiti!

Eti akuchagulie chupi ya mkeo mweeee! '' hii nzuri, hii new style! ni rahisi hapa mwenyekiti wa serikali za mitaa kukupiga vita uhame,

Unajua Wanawake hawana siri wanasimulianaga sana huko saloon, bombani, vikobani,visimani!nk. utasikia yule kaka jamani mtaalam kweli! alinichagulia chupi nzuriii! mme wangu kazipenda, hapo habari zina sambaa!

Wazee wa rika zote na visichana chipukizi vitahudumiwa na Kijana ''me'' . Visichana vigori vinapenda wavulana wasiojali, kwanza viko mawindoni pia, wala havioni aibu hivi havina wa kumsimulia zaidi ya rafiki zao wenye kuhitaji vyupi km vyao! vinanunua aina hiyo,hiyo rangi moja vyoote!
 
Duh Mungu atusaidie Kwakweli
 
Mkuu inaonekana uko vizuri sana kwenye ethics za biashara. Shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…