Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Kwa maoni yangu naona hii biashara inaenda vizuri jitaidi kuendelea hivyo hivyo utafika mbali Sana ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks MkuuKwa maoni yangu naona hii biashara inaenda vizuri jitaidi kuendelea hivyo hivyo utafika mbali Sana ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana ndg kwa hatua hiyo. Kuna uwezekano wa kupata pesa zaidi ya hiyo, endelea kuongeza mtaji kidogo kidogo.Mkuu kuhusu mkoa mi niko Kanda ya Ziwa na nafanya biashara ya Chupi. nilianza na Chupi na wakati Naendelea nikawa naongeza vitu kidogo kidogo na still Naendelea kupambana nione Duka likifika umri wa mwaka itakuaje
300k kwa mwez, 10k kwa siku..
Kweli kuna watu mnatafuta hela kwa shida sana.
Ungeweka wazi basi ni biashara gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua biashara anayoifanya mpk unamwambia akomae ?Komaa mkuu km umeweza kupata elfu kumi ina maana kuna possibility ya kupata elfu 20 mpaka elfu 30 per day........
Cha muhimu hyo elfu kumi unayoipata hakikisha una isave ikifika kiasi kingi kidogo unaagiza mzigo usikae na cash sana hakikisha hela yako unaiwekeza kwenye mzigo
Na mwisho ningependa kukushauri ndugu yangu " don't loose focus" km umeamua kufanya hyo biashara ifanye kwa nguvu zote mpaka ikuletee matokeo na sio biashara haijasimama imara unafungua biashqra mpya itakucost.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasoma comments ndo Maana unashangaaMkuu mbona sielewi ni biashara gani uliofanya mpk kupata mtaji wa kiasi hicho taja biashara unayoifanya tujue
Sent using Jamii Forums mobile app