Nimeingiza faida ya 1,092,600 baada ya siku 90 za biashara yangu

Nimeingiza faida ya 1,092,600 baada ya siku 90 za biashara yangu

Mkuu kuhusu mkoa mi niko Kanda ya Ziwa na nafanya biashara ya Chupi. nilianza na Chupi na wakati Naendelea nikawa naongeza vitu kidogo kidogo na still Naendelea kupambana nione Duka likifika umri wa mwaka itakuaje
Hongera sana ndg kwa hatua hiyo. Kuna uwezekano wa kupata pesa zaidi ya hiyo, endelea kuongeza mtaji kidogo kidogo.

Kisha tafuta eneo lenye mzunguko mzuri wa watu na biashara. Utatoboa tu. Kuna wengine hata hiyo 10,000/- kwa siku hawatengenezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna Ubaya? Kumbuka ndo kaanza biashara yake na kwa mtaji wake hiyo ni faida kubwa sana inachezea labda kwenye 80%

Kwenye Faida usiangalie kapata sh ngapi angalia pia kawekeza sh ngapi.
300k kwa mwez, 10k kwa siku..
Kweli kuna watu mnatafuta hela kwa shida sana.
Ungeweka wazi basi ni biashara gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera, you are on the right truck

Biashara yako bado changa lakini umeshaanza kuingiza kiasi cha zaidi ya Tsh 11, 000/= kwa siku

Kwa mtaji wa Tsh 1,900,000/= na hiyo faida unayoipata ni mwanzo mzuri

Kuna watu wamewekeza Tsh 10,000,000/= kwa mwezi ndio wanaingiza huo mpunga wa 300K per month

Pia ukifikisha angalau miezi 6 hadi mwaka ndio utaweza kuwa na picha kamili kuhusu hiyo biashara yako kokudo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komaa mkuu km umeweza kupata elfu kumi ina maana kuna possibility ya kupata elfu 20 mpaka elfu 30 per day........

Cha muhimu hyo elfu kumi unayoipata hakikisha una isave ikifika kiasi kingi kidogo unaagiza mzigo usikae na cash sana hakikisha hela yako unaiwekeza kwenye mzigo

Na mwisho ningependa kukushauri ndugu yangu " don't loose focus" km umeamua kufanya hyo biashara ifanye kwa nguvu zote mpaka ikuletee matokeo na sio biashara haijasimama imara unafungua biashqra mpya itakucost.

Unajua biashara anayoifanya mpk unamwambia akomae ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom