johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Ufipa mko busy na hayati Magufuli wenzenu CCM wanasonga mbele kwa mbele wembe ni ule ule.Aisee mmedata, si bure. Kifo cha "mungu" wenu kimeleta ukungu kwenye ubongo naona.
Achana na Chadema - hawana serekali wale. Ukifika wakati wao nao tutawabamiza vile vile.Ufipa mko busy na hayati Magufuli wenzenu CCM wanasonga mbele kwa mbele wembe ni ule ule.
Chadema wamejazana vifutu watupu!
The end of one man show era.
Leo ndiyo tunakamilisha siku 21 za maombolezo na pia siku 21 za kuuzika rasmi Udikteta wa awamu ya tano!Miguvu mwisho Ufipa.
Tanzania Daima oyeee!
Yaani unaamini Chadema kuna siku itaunda serikali?Achana na Chadema - hawana serekali wale. Ukifika wakati wao nao tutawabamiza vile vile.
Sasa hivi sisi tuko na huyu anayepokea kodi zetu ndiye tunakula naye sahani moja.
MATAGA naona mko kwenye maombolezo maana inaonekana soon mama atawazamisha mapipa ya choo cha shimo huko!
Bado unaendeleza uganga njaa hapo Kihesa?Wenye akili walishaondoka Chadema!
Yaani unaamini Chadema kuna siku itaunda serikali?
Wewe ni bure kabisa.
Lakini vyote hivi havikuliponya....ndio wajue Mungu hadhiakiwi...Jiwe alikuwa na walinzi kama 100 hivi na masilaha ya kivita ila mama naona walinzi watatu tu wanawake wawili na msela mmoja.
Mkuu umebadili gia angani [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeielewa sana falsafa ya Rais Samia kuwataka watendaji wote kutumia akili badala ya nguvu wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi.
Kwa mfano kumfukuza Tundu Lissu bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili.
Kumsimanga Prof Assad ni matumizi ya nguvu
Kuwaingiza akina Nusrat Henje bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili.
Nk.....nk....nk!
Hakika awamu ya 6 na mambo mapya hakuna kuoneana.
Maendeleo hayana vyama!
Kihesa nimemucha kifutu Msigwa bwashee!Bado unaendeleza uganga njaa hapo Kihesa?
Kwani nimehama chama?Mkuu umebadili gia angani [emoji23][emoji23][emoji23]
Katiba hairuhusu chama cha upinzani kuongoza serikali!Mwendazake naye alikuwa na imani kama hii. Naona kakuachia ww mikoba
HaaaaaaaMiguvu mwisho Ufipa.
Tanzania Daima oyeee!
Kwani kama inajulikana kabisa kuwa sheria za uwekezaji ni kandamizi na zinafukuza wawekezaji, sasa ugumu wa kuzifuta unatoka wapi?Sheria za zingine unaziacha unafuata busara.
Mfano ba mkwe wako kaja bank kapanga foleni wewe upo mbele yake,si utampisha awe mbele yako ili achukue fedha asepe.
Kumbuka neno la Rais ni sheria pia.
Na kasema kuna mambo ya Barick yamalizike means sheria zitarudi nyuma ila za kujali maslahi.