Nimeipenda falsafa ya Rais Samia ya Watendaji kutumia akili badala ya nguvu. Je, CCM wamemuelewa?

Saaaaaanaaaaa.......
 
Kwani kama inajulikana kabisa kuwa sheria za uwekezaji ni kandamizi na zinafukuza wawekezaji, sasa ugumu wa kuzifuta unatoka wapi?
Kila zama na kitabu chake.
Kama nimemskia mama vizuri ni kwamba amesema ndani ya miezi hii 3 anajua kutashuka ukusanyaji wa kodi hii ni baada ya wawekezaji kukimbia sasa, inategemea miez sita watarudi na watawekeza ,so anajua vzr kwamba sheria kandamizi ndo zilipelekea wawekezaji kuondoka.
Lakini ni vizuri kuwakaribisha kwa sababu demokrasia yetu iliyumba,uwekezaji wetu uliyumba .
Sasa tunatembea
 
Hahahahahahah endelea kumeza dawa zako Bwashee. Uko vizuri, kila unapomeza dawa huandiki yale madudu yako hahahahaha
 
Awamu ya tano tushaizika tangu tar26/3 babu, zinduka usingizini hii ni awamu ya sita.
Officially ilizikwa tarehe 19 March 2021 baada ya Mh. Samia Suluhu Hassan kuapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…