Nimeisababishia hasara kampuni milioni 500 kwa kuziiba nasubiri kikao cha bodi ya kampuni

Nimeisababishia hasara kampuni milioni 500 kwa kuziiba nasubiri kikao cha bodi ya kampuni

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Yaani sio poa kabisa ndugu zangu nimefanikiwa kuziiba pesa taslimu milioni 500 za kampuni x na kuisababishia hasara kampuni ya hiyo pesa na sasa niko njia panda either nikimbie nchi au nitulie tu nikisubiria hatima yangu ya kesi ila najua hii kesi mimi siwezi kuchomoka hapa ni kufungwa kifungo jela tu

Kwahiyo naombeni ushauri wenu nizilipe hizo pesa ila pesa zenyewe nimekunywa bia na kutumia kwa wanawake tu wala sijazifanyia chochote Ile aisee kwahiyo nasubiria kikao cha kampuni watakuja na hatua gani za kinidhamu yaani kiukweli niko njia panda mwenzenu

Kwa yoyote yule anayemjua mganga wowote yule Ani pm ili niimalize hili so maana sio poa au yoyote yule mwenye connection na maisha ya abroad anipm tuyajenge ili nikimbie hii nchi ili kuepukana na hii so
 
Acha upumbavu kuandika vitu vya uongo. Threads zako nyingi ni kama mtu aliyekatwa kichwa.
 

Attachments

  • Screenshot_20230129-115632_Chrome.jpg
    Screenshot_20230129-115632_Chrome.jpg
    130.7 KB · Views: 5
MILION 500 UJE KUANDIKA THREAD HUMU? MUDA HUU KAMA UNGEKUWA NAYO UNGEKUWA MBALI SANA
 
wala usihangaike mkuu, kama hizo hela huna ila unaakiba kidogo na unaona huwezi kuchomoka tumia mbinu ifuatayo itakusaidia.

Kama unapassport kavuke border pale tunduma, elekea DRC, pale DRC nunua passport ya DRC, toka tena na passport yako ya drc nenda kaishi SA....

Ukishindwa hilo, wapo waganga hapa hapa bongo wanaweza kumaliza hicho kimea faster na kampuni ikakupiga tu termination yakaisha NO Case, ningekupa password ya wakali wa hizi kazi wamalize hilo picha hata ukitaka roho ya mtu ichomoko uwe salama.
 
Back
Top Bottom