akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.
Ok kiufupi, nimezunguka mikoa mingi..nimeishi Kagera aisee ilikua safi majirani na watu walikua na upendo sana japo sikua mwenyeji.
Nimeishi moshi big up sana kuna wajamaa waliiishi na mimi kama mdogo wao na hata kunisaidia naul kurudi Dar nilipokua hali tete braza George Mramba big up popote ulipo ulinisaidia first day kiuaminifu sana kama mdogo wako.
Unakaribishwa chakula tena unalazimishwa aisee watu wa mikoani big up sana ila na kiujumla watz safi sana.
Lushoto nimeishi Lukozi napo ilikuwa safi sana watu walikuwa wakarimu vibaya mno kama wanakujua. Aisee watz sisi safi sana!
Brother sikufichi Tanzania bonge LA nchi kama tungekuwa na viongozi wakapunguza ufukara kwa Sera nzuriAisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.
Ok kiufupi, nimezunguka mikoa mingi..nimeishi Kagera aisee ilikua safi majirani na watu walikua na upendo sana japo sikua mwenyeji.
Nimeishi moshi big up sana kuna wajamaa waliiishi na mimi kama mdogo wao na hata kunisaidia naul kurudi Dar nilipokua hali tete braza George Mramba big up popote ulipo ulinisaidia first day kiuaminifu sana kama mdogo wako.
Unakaribishwa chakula tena unalazimishwa aisee watu wa mikoani big up sana ila na kiujumla watz safi sana.
Lushoto nimeishi Lukozi napo ilikuwa safi sana watu walikuwa wakarimu vibaya mno kama wanakujua. Aisee watz sisi safi sana!
Hat huko hakuna shida mrad usiwachokozeNenda kaishi na Tarime, halafu lete mrejesho.
Bukoba vijijini ni kweli mkuu!Bukoba hapana mkuu
Kweli bukoba kwi kwi kwi kwi naunga mkono hojaBukoba .. Hahah Ngoja kwanza hapo ncheke
Sisi tunabeba helaCha ajabu wao wakija mkoani hua hawaji wakiwa wamebeba Nazi.Wanaletaga pumbuh zao tu.
Watu wa Dar roho mbaya, mizinga kibao, wana dharau, wanyanyasaji.Wa huko Dar wamejaa roho mbaya na umaskini kiasi kwamba ukiwatembelea wanakuuliza unaondoka lini? Cha ajabu hapo umeshawabebea debe la mchele, maharage na mandizi yakutosha.
Mkuu Dar lazima useme unakaa mpaka limi ili mtu aweke budget yako. Mjini watu hawaishi kama ng'ombeWa huko Dar wamejaa roho mbaya na umaskini kiasi kwamba ukiwatembelea wanakuuliza unaondoka lini? Cha ajabu hapo umeshawabebea debe la mchele, maharage na mandizi yakutosha.
Acha ujinga mkuu, umekwaza na nini mkui?Bukoba hapana mkuu
Dar unafiki mwingi Sana, kuanzia makanisani, misikitini, sokoni, kwenye bar hata kwenye daladala.Watu wa Dar roho mbaya, mizinga kibao, wana dharau, wanyanyasaji.
Nimecheka mkuu kwenye aya yako ya mwisho kuhusu Dar es Salaam. Kwba tunaishi kama MagaidiMikoa yote niliyokua naishi nimeshuhudia upendo na ukarimu wa watanzania tena sehemu hizo unakuta hauna ndugu kabisa ila Unaishi kwa amani. Eg, Usukumani, Unyaturuni, Wandengereko, Wachaga/Masai nimekaa kwa raha sana, Wanyakyusa pia wakarimu sana asee..
Zanzíbar watu ni wakarimu sana ghalama ya kupata kitu chochote kwa Shamba ni kusema "naomba" Shida yao sometimes udini unawameza kiasi but nao wakarimu sana.
Dar ndio watu wanaishi kama magaidi ukipanda gari kila mtu anamuona mwenzake Mwizi, hata ukiulizia njia hasa maeneo ya Ubungo, kino,temeke, ilala Ndio kwanza mtu anakutafutia chance ya kukuibia/tapeli.
Kenya habari nyingine, bora hata South Sudan japo hakuna amaniNeenda Kenya ndo utajua watanzania ni watu wa peke katika ukarimu............sema tu wataznia wengi ni wanafiki
Wale Tarime ni watata sana mradi uishi kwa adabu hawatakusumbua. Sema wana command sana kule dah!Nenda kaishi na Tarime, halafu lete mrejesho.
Mwanza nimeishi jirani na chuo cha IFM kule ilipo hospital ya Sekou Toure.Ungeishi na mwanza ungepata experience tofauti..nmeishi sehemu nyingi ila hakuna watu wakarimu kama watu wa mwanza mjini pale..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, dar ndo collabo ya mikoa yote.Wa huko Dar wamejaa roho mbaya na umaskini kiasi kwamba ukiwatembelea wanakuuliza unaondoka lini? Cha ajabu hapo umeshawabebea debe la mchele, maharage na mandizi yakutosha.
Daaah,wacha nikatembee huko[emoji4]Mijini na kazini ndo kuna mambo ya kubaguana. Ukienda vijijini ndani kabisa kuna ukarimu wa hali ya juu bila kujali uko mkoa gani ila kwa wamasai unaweza kupata changamoto sababu ya mila na desturi. Ukienda kwa Wairaque unapewa wadada wawili wakupe support usiku kama wataona una wasiwasi kulala peke yako.