Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.

Ok kiufupi, nimezunguka mikoa mingi..nimeishi Kagera aisee ilikua safi majirani na watu walikua na upendo sana japo sikua mwenyeji.

Nimeishi moshi big up sana kuna wajamaa waliiishi na mimi kama mdogo wao na hata kunisaidia naul kurudi Dar nilipokua hali tete braza George Mramba big up popote ulipo ulinisaidia first day kiuaminifu sana kama mdogo wako.

Unakaribishwa chakula tena unalazimishwa aisee watu wa mikoani big up sana ila na kiujumla watz safi sana.

Lushoto nimeishi Lukozi napo ilikuwa safi sana watu walikuwa wakarimu vibaya mno kama wanakujua. Aisee watz sisi safi sana!

Brother sikufichi Tanzania bonge LA nchi kama tungekuwa na viongozi wakapunguza ufukara kwa Sera nzuri
 
Wa huko Dar wamejaa roho mbaya na umaskini kiasi kwamba ukiwatembelea wanakuuliza unaondoka lini? Cha ajabu hapo umeshawabebea debe la mchele, maharage na mandizi yakutosha.
Watu wa Dar roho mbaya, mizinga kibao, wana dharau, wanyanyasaji.
 
Dar hapana aisee jiji watu wanaishi kibinafsi na kichoyo,mikoani maisha matamu sana na uta enjoy kwa gharama ndogo sana vyakula hata papuchi ni afordable kabisa Dar huku ni shida tupu.
 
Wa huko Dar wamejaa roho mbaya na umaskini kiasi kwamba ukiwatembelea wanakuuliza unaondoka lini? Cha ajabu hapo umeshawabebea debe la mchele, maharage na mandizi yakutosha.
Mkuu Dar lazima useme unakaa mpaka limi ili mtu aweke budget yako. Mjini watu hawaishi kama ng'ombe
 
Watu wa Dar roho mbaya, mizinga kibao, wana dharau, wanyanyasaji.
Dar unafiki mwingi Sana, kuanzia makanisani, misikitini, sokoni, kwenye bar hata kwenye daladala.
Mtongoze demu wa Dar, mwanzo atajifanya matawii, siku mbili nyingi utaona true colours za umaskini wake. Nenda masjid, waislamu wanajifanya wameshika dinii mtu huyo huyo mkute Kigogo kwenye kitimoto uone matusi anayo poromosha. Ehee Sasa nenda kanisani hasa kipindi Cha kutoa sadaka, angalia wanawake walivyo , mdada huyo huyo akiwa gesti ni bingwa wa kula coni na kutoa namba za mtandao wa tigo.
 
Mikoa yote niliyokua naishi nimeshuhudia upendo na ukarimu wa watanzania tena sehemu hizo unakuta hauna ndugu kabisa ila Unaishi kwa amani. Eg, Usukumani, Unyaturuni, Wandengereko, Wachaga/Masai nimekaa kwa raha sana, Wanyakyusa pia wakarimu sana asee..

Zanzíbar watu ni wakarimu sana ghalama ya kupata kitu chochote kwa Shamba ni kusema "naomba" Shida yao sometimes udini unawameza kiasi but nao wakarimu sana.

Dar ndio watu wanaishi kama magaidi ukipanda gari kila mtu anamuona mwenzake Mwizi, hata ukiulizia njia hasa maeneo ya Ubungo, kino,temeke, ilala Ndio kwanza mtu anakutafutia chance ya kukuibia/tapeli.
Nimecheka mkuu kwenye aya yako ya mwisho kuhusu Dar es Salaam. Kwba tunaishi kama Magaidi
 
Neenda Kenya ndo utajua watanzania ni watu wa peke katika ukarimu............sema tu wataznia wengi ni wanafiki
Kenya habari nyingine, bora hata South Sudan japo hakuna amani
 
Nenda kaishi na Tarime, halafu lete mrejesho.
Wale Tarime ni watata sana mradi uishi kwa adabu hawatakusumbua. Sema wana command sana kule dah!
Hawajui kubembeleza hata dukani hawakuangalii mara 2, 2.
 
Wa huko Dar wamejaa roho mbaya na umaskini kiasi kwamba ukiwatembelea wanakuuliza unaondoka lini? Cha ajabu hapo umeshawabebea debe la mchele, maharage na mandizi yakutosha.
Mkuu, dar ndo collabo ya mikoa yote.
Sasa unaposema ukija dar unaulizwa unaondoka lini??..
Je aliyekuuliza hilo swali una uhakika asilimia100 ni mzaramo, au mzawa wa dar??
Watu wa dar ndo hao waliotokea mikoani wakiwa na hasira za maisha.
Ivi ushawahi kutana na mtu mwenye hasira za maisha mkuu?, Anakuwa mkarimu?? basi kama mkarimu ni nadra sana,

Inshort tuu usije sema watu wa dar Wana roho mbaya,
Nikwambie ukweli
Mchaga unayemkuta dar, sio mchaga unayemkuta moshi, wanakuwa watu wawili tofauti.
Same to muhaya, mnyakyusa, mluguru.

Kwahiyo mkuu usialamu dar eti wana roho mbaya.
Mimi si mzaliwa wa dar , ila nimeisoma dar.

Kuna baadhi ya mitaa miaka hiyo mwizi akikamatwa anapona., Kwa sababu wanajuana, ila hiyo mitaa siku hizi baada ya mwingiliano ya watu kutoka mikoani mwizi hata dk10 hazifiki washammaliza.

Kwa kifupi mimi nakubaliana kwamba the way unavyokaribiswa mikoani ni tofauti kabisa na unavyokaribishwa dar.

Dar ni pesa pesa pesa na mikoani ni vitu vitu vitu vitu.

Ndo maana confidence unayoenda nayo benki (dar)
Ni tofauti na confidence unayoenda nayo sokoni(mikoani)

Sehemu ya pesa iache kama ilivyo mtaalamu wangu.[emoji4][emoji4]
 
Mijini na kazini ndo kuna mambo ya kubaguana. Ukienda vijijini ndani kabisa kuna ukarimu wa hali ya juu bila kujali uko mkoa gani ila kwa wamasai unaweza kupata changamoto sababu ya mila na desturi. Ukienda kwa Wairaque unapewa wadada wawili wakupe support usiku kama wataona una wasiwasi kulala peke yako.
Daaah,wacha nikatembee huko[emoji4]
 
Back
Top Bottom