- Thread starter
- #21
HahahahaEbu kajaribu zenji..uje utupe mrejesho..nenda huko vijijini halafu uanze kula mdudu ndio utajua tz hakuna amani bali utulivu.
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaEbu kajaribu zenji..uje utupe mrejesho..nenda huko vijijini halafu uanze kula mdudu ndio utajua tz hakuna amani bali utulivu.
#MaendeleoHayanaChama
Mikoa yote niliyokua naishi nimeshuhudia upendo na ukarimu wa watanzania tena sehemu hizo unakuta hauna ndugu kabisa ila Unaishi kwa amani. Eg, Usukumani, Unyaturuni, Wandengereko, Wachaga/Masai nimekaa kwa raha sana, Wanyakyusa pia wakarimu sana asee..Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.
Lushoto nimeishi lukozi napo ilikua safi sana watu walikua wakarimu vibaya mno kama wanakujua. Aisee watz sisi safi sana!
Kweli hata zanzibar nimefika Tunguu nimeishi kule miez 2, niliishi kwa raha mustarehe japo mm si muislam.. ni kwel lakini usemacho udini kidogo nao ndo shida ila kama.mdau alivyosrma hapo juu when you are in rome live like romans.Naunga mkono hoja yako pal, Zawadi kubwa tuliyopewa watanzania inawezekana kuliko hata waafrika wengine ni Upendo na ukarimu, Watanzania ni wakarimu mno nahisi ndio sababu ya umaskini wetu.
Mwanzo nikienda vijiji vya mkoa wetu jinsi majirani wanavyotupokea na kutupa vyakula nilikia najua ni mkoa wetu ndio wakarimu sana kumbe ni karibu mikoa yote. Mikoa yote niliyokua naishi nimeshuhudia upendo na ukarimu wa watanzania tena sehemu hizo unakuta hauna ndugu kabisa ila Unaishi kwa amani. Eg, Usukumani, Unyaturuni, Wandengereko, Wachaga/Masai nimekaa kwa raha sana, Wanyakyusa pia wakarimu sana asee..
Zanzíbar watu ni wakarimu sana ghalama ya kupata kitu chochote kwa Shamba ni kusema "naomba" Shida yao sometimes udini unawameza kiasi but nao wakarimu sana.
Dar ndio wwtu wanaishi kama magaidi ukipanda gari kila mtu anamuona mwenzake Mwizi, hata ukiulizia njia hasa maeneo ya Ubungo, kino,temeke, ilala Ndio kwanza mtu anakutafutia chance ya kukuibia/tapeli.
Nimezurura mtwara, tanga, zanzibar, iringa, kagera, kilimanjaro n.k sikuwah kupata shida watu wanaishi na ww kama wanakujua ndo nachoelezea tukiwa humu mitandaon tunarushiana maneno lakini kiuhalisia mambo hayako hivyo ndo nilichotaka kushea humuUkarimu wa kutoka wapi? Labda wachache sana waliostaarabika
Ila hili kwel kuna watu wa dar huwa na huu upuuzi sana nakubali hoja 😂😂😂Nadhani hata wewe ulikua poa pia mkuu.
Kuna viumbe wakitoka dsm/ mijini kwenda mikoani/vijijini hudhani kua watu wa huko si lolote si chochote, hawajui mambo mengi na ni washamba hata kama wana kipato kumzidi.
Maneno mengi yasiyoisha, kila kitu anajua, kila kitu anashangaa as if wanaofanya ivo ni watu wa ajabu( kushangaa watu kwa kuwananga) .
Aisee ukiwa na vitabia vya namna hiyo usitegemee ukarimu ugenini, kila mtu atakukwepa. Utakua na chawa wachache tu, ten wale washamba pro max.
Nikitaka kusema hivi pia, ni unafiki zaidi ya ukarimu.Nadhani hapo kwenye UKARIMU ungeweka UNAFIKI.
Wewe jamaa kwanini Ni mpumbavu sana?Ebu kajaribu zenji..uje utupe mrejesho..nenda huko vijijini halafu uanze kula mdudu ndio utajua tz hakuna amani bali utulivu.
#MaendeleoHayanaChama
Neenda Kenya ndo utajua watanzania ni watu wa peke katika ukarimu............sema tu wataznia wengi ni wanafikiHao wa Tz unaozungumzia hawapo hapa JF huku JF kila mtu ana gari na nyumba Kali na kila mtu hana njaa we hao wa Tz ulioishi nao Wana hizi sifa za watu wa JF?
Mmmmh wacha weeeee! Hiyo support naruhusiwa kula mzigo usiku??Mijini na kazini ndo kuna mambo ya kubaguana. Ukienda vijijini ndani kabisa kuna ukarimu wa hali ya juu bila kujali uko mkoa gani ila kwa wamasai unaweza kupata changamoto sababu ya mila na desturi. Ukienda kwa Wairaque unapewa wadada wawili wakupe support usiku kama wataona una wasiwasi kulala peke yako.
Oh!!!Legeza nkwibe wabinafsi wa kiwango cha lami
Inavutia!Nina mashaka kama wanaocomment washawahi kufika bukoba.
Maana kungekuwa hakukaliki almost asilimia kubwa ya bar zilizoko bukoba mjini za wachaga, maduka ya vyakula ya wachaga na bado watu wanakunywa pombe na kununua kama.kawa.
Wachagga wamejenga bukoba mjini, aliyekuwa anauza bia kwa jumla bkb mjini alikuwa mchaga sina hakika kwa sasa na alikuwa anamiliki bar kubwa hapo.
Watu uwa wanasema wahaya wanaongea kilugha tu, lakini hii nimeiona mikoa mingi.
Kuna kipindi nimekaa kahama full kisukuma.
Ila wasukuma wakarimu sana sana na wachapa kazi.
Mwaka jana nimeenda bukoba vijijini nikashangaa kuan wasukuma wanalima.mpunga maana bukoba hakukuwa na kilimo cha mpunga nikashangaa mashamba ya mpunga.
Tz kokote unaweza kwenda ukaishi fresh tu
Nimezurura mtwara, tanga, zanzibar, iringa, kagera, kilimanjaro n.k sikuwah kupata shida watu wanaishi na ww kama wanakujua ndo nachoelezea tukiwa humu mitandaon tunarushiana maneno lakini kiuhalisia mambo hayako hivyo ndo nilichotaka kushea humu
Ndugu nimeona wasukuma wanamiliki mashamba makubwa mkoan kagera na wanaishi vema sana na wenyeji..mimi nimefika kamachumu wenyeji walikua waungwana sana mpaka nikatamani nikae tena na tena. Nimeishi bukoba mjini na wilaya za mkoa wa kagera kwa muda wa miezi 8 mkuu ckupata tabu yoyote zaidi na kukirimiwa japo si mwenyejiLushoto sawa
Moshi sawa
Lakini Bukoba? Mhhh Bukoba ipi wewe ulikwenda?
Isije ikawa unaongelea mtaa wa Bukoba hapo Manzese nyuma ya Bakhresa.