Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

Nashukuru Sana ndugu, hii kitu kuna mtu alishawahi kuniambia, (SIKU MTAYOACHA KUFIKIRIA HAYO MAMBO NDIO SIKU MTAKAYOFANIKIWA)
 
Huyo mwanamke sio mama yako au dada yako muache tafuta mwingine... Shida anayo yeye,
 
Swali zuri, NILIKUA NAWAAMBIA KUA TUNATAKA KUANGALIWA RAMLI MAANA MWANAMKE ANAOTA NDOTO MBAYA USIKU
Hapo ndio ulikua unaharibu hapa lazima aseme yeye anatatizo.. hapo kuna mawili mwanamke anakuficha kuna jambo alishawai kufanya nyuma kuchomoa mtoto au wewe sperm zako hazina uwezo kurutubisha.. jaribu kusex nje.. uone kama majibu yatatoka
 
Ana jini mahaba. Jini lishamchukulia kama mkewe haliwezi kuruhusu mpate mtoto. Pambana utibu tatizo hilo utakuwa umemaliza.
 
Anaota sana anaingiliwa...? kwa sisi tunaoamini juu ya Uungu TUNASEMA UZAZI NI MAPENZI YAKE JALALI...! Nina miaka mingi sana na ndio nataraijia KUITWA BABA soon Inshaallaah! haya mambo ni mazito sana kikubwa Dua nyingi, kuamini na kusubiri wakati ukihangaika na taratibu flani flani,namaanisha DAWA/iwe Asili ama za Kisasa😎Mungu awafanyie wepesi si umeoa?
 
Mkuu ikiwa umewahi kutia sana wanawake mimba inamaanisha kuwa una watoto tayari, kwa nini unahangaika sana?


Pia wewe kutia mimba zamani haikufanyi uendelee kutia mimba sasa, unaweza kupata changamoto zikafanya mfumo wako wa uzazi kuwa dhaifu.


Endelea kumvumilia mkeo mkuu, mliahidiana katika shida na raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…