Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

Ndugu unaharaka sana miaka 3 umehangaika namna hiyo? Wewe kama ni mkristo rud church ongea na kiongozi tubu kwanza dhambi ya kwenda kwawaganga then muachieni Mungu afanya anavyotaka mtoto ni zawadi huwezi kupush namna hiyo pia hata kama uchawi upo ukiwa mtu wa ibada hauwezi kuwadhuru hata kama amefungwa taratibu vifungo vinaachia katika kupambana miaka 3 ni michache sana
 
Bro nisikilize Mimi,usiende kwa mganga wala nabii yoyote Tena as long as hospital wamesema hakuna shida
Relax kula maisha na mke wako
Hakikisha una furaha na mke wako ana furaha pia
Mkisex sex for funny na sio kutafuta mtoto
Kiufupi hakikisha mkeo ana amani ya Moyo na wewe muoneshe kuwa kwako hilo sio tatizo
Kula maisha furahi
Ipo siku utamkuta huyo mkeo anakula maembe mabichi na anahisi kichefuchefu
Mshikaji wangu fulani amekaa na mke wake miaka 9 bila mtoto nilimpa ushauri huu huu
Mwezi ulopita mke wake kajifungua mtoto wa kiume
Sometimes ni issues za Energy tu nyakati
 
Asante Kwa ushauri mkuu
 
Mkuu Yani kweli unawaza mtoto huku wenzako wanakusanya bilioni 100 ndani ya siku Moja? Kweli...?
 
Achana na hizo issues za majirani wanasema Nini
Kaa chini na mkeo na mkubaliane kuenjoy maisha kwa style yenu
Kaa mbali na watu wenye negativity kama hao majirani wanaowasema vibaya
Mambo yatajipa tu
 
Bro nisikilize Mimi,usiende kwa mganga wala nabii yoyote Tena as long as hospital wamesema hakuna shida
Relax kula maisha na mke wako
Hakikisha una furaha na mke wako ana furaha pia
Mkisex sex for funny na sio kutafuta mtoto
Kiufupi hakikisha mkeo ana amani ya Moyo na wewe muoneshe kuwa kwako hilo sio tatizo
Kula maisha furahi
Ipo siku utamkuta huyo mkeo anakula maembe mabichi na anahisi kichefuchefu
Mshikaji wangu fulani amekaa na mke wake miaka 9 bila mtoto nilimpa ushauri huu huu
Mwezi ulopita mke wake kajifungua mtoto wa kiume
Sometimes ni issues za Energy tu nyakati
Ushauri huu nimepewa Sana inaonekana unafanya kazi
 
Mkuu sometimes jaribu kuwa na utu
This is our fellow man explaining his problem
Usilete utani kwenye serious issues.
Kwendaaaa...usawa huu mtu hajui hospitali ? Hajui Kuna kupima ? Hajui madaktari ? Jf ndio hospitali? Ccm itawatawala milele Amina..
 
Kasema amepima hospital na wamesema hakuna shida yoyote mkuu
 
Mungu akupe wepesi aisee
Muwe wavumiliivu mtakula vilivoiva
 
Back
Top Bottom