Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

Najibia kichwa ya uzi

Mkiacha kuweka mawazo yenu yoteee kwenye hili mtashangaa mtoto anakuja fasta.. Hii usemwa ni muhimu sanaaaaaaaaaa.. Hivyo kila mmoja wenu atulie.. Nawe mwanaume muonyeshe mwenzako kwamba hauna hofu na hasira yoyote.. unampenda na hauta anza kuchepuka au kumuaga kisa kuto pata mtoto.. Lazima awe na Furaha na Amani sanaaaa moyoni na tie Moyo kuwa Muda wa Mola unakuja.
Wewe dada akili kubwa sana
 
Pole Sana mkuu..
Mdogo wangu Mimi(KE) alikumbwa na kadhia hiyo na mume wake wamezunguka kama wewe Tu ..
Walisota Tangu 2020 nikaingilia Kati nikampeleka dogo sehemu .. Mungu NI mwema mwaka Jana kapata mtoto wa Kwanza . Navoongea hapa tena anaweek moja kapata tena mtoto wa pili . ..
Nicheki PM mkuu. .
Mcheki jamaaa ikishindikana nicheki ntakuunganisha
 
Pole sana, nenda kwa madaktari watalipa suruhisho, yawezekana shahawa zako hazina nguvu, nenda upime shahawa zako utapata majibu. Na mwanamke wako ikiwezekana atapewa dawa ya kubust mayai.
 
Pole Sana Ila kosa ulilofanya hapo ni kwenda kwa waganga na manabii .

Wote hawa hawana uwezo wa kutatulia shida yako zaidi zaidi utaumizwa just imagine umechoma million tano hela nyingi Sana .


Tumia njia za hosptali na mkikosa mwambie ajaribu kwa wanaume mwingine na wewe jaribu kwa Mwanamke mwingine.
 
Connection Kaka naomba kama unao manguli unaowajua
We utaishia kutapeliwa kwakuwa unakosa utulivu issue ya uzazi haitatuliwi kwa waganga na manabii au mashekh ni issue ya kitaalamu hosptalini .

Watu wako kazini watakupiga hela mpaka utachanganikiwa
 
We utaishia kutapeliwa kwakuwa unakosa utulivu issue ya uzazi haitatuliwi kwa waganga na manabii au mashekh ni issue ya kitaalamu hosptalini .

Watu wako kazini watakupiga hela mpaka utachanganikiwa
Hapa mfumo wa waganga wengi nikukuwekea hofu halafu ndio wanaanza kukupa confidence kupitia dawa wanazokupa .na unatumia gharama kubwa Sana
 
Biolojia ipo sawa, hamna haja ya kupoteza muda na waganga.

Wekeni nguvu kwenye afya ya uzazi na ushauri wa madaktari kwenye hilo huku mkipata "therapy" ya wanasaikolojia kuwarudisha kuwa sawa kutoka kwenye hii "panick" na msongo mlionao ambao kwa mwanamke utakuwa ni maradufu.

Nendeni hata mapumzikoni kufurahia maisha Wakati mnaendelea kutekeleza ushauri wa madaktari kuhusu vyakula, mazoezi, supplements n.k.

Wakati sahihi ukifika mtapata tu bila shida.
 
We utaishia kutapeliwa kwakuwa unakosa utulivu issue ya uzazi haitatuliwi kwa waganga na manabii au mashekh ni issue ya kitaalamu hosptalini .

Watu wako kazini watakupiga hela mpaka utachanganikiwa
Sawa mkuu, lakini kwenye maelezo yangu hapo nimeandika tumeshapita hospital tumepimwa tumeonekana hatuna shida
 
Sawa mkuu, lakini kwenye maelezo yangu hapo nimeandika tumeshapita hospital tumepimwa tumeonekana hatuna shida
Upo DSM ? If yes nenda Temeke hosptali umtafute Daktari anayehusika na issue za uzazi ongea nae bila mke wako kujua
 
Back
Top Bottom