πππππ€π€π€π€πππ
View attachment 2202732
Duh! kweli wanapenda Rushwa..Kifaru cha Urus sasa kinauzwa dola elfu 5 wapiganaji wa Russia wanakuachia na yale magari yenye makombora masafa marefu kila gari dola elfu 10 wanachukua na kujifanya wametekwa hawataki kurudi Russia ukiwapa watauawa!!!
Ndege za kivita dola laki moja mrusi anatua bila kuachia mabomu anakabidhi ndege na mibomu yote intact anakwambia mishahara midogo jeshini wakubwa wanakula kwa urefu wa kamba zao .Putin na magenerali wa Jeshi Sisi huku chini choka mbaya nipe ila usinirudishe Urusi
Ila Urusi sirudi hata ukitaka heri uniue wewe
Nimechoka hapo anapompinga mleta mada ambae anaishi Russia kwa kutumia kigezo cha kuwa na ndugu yake anayeishi Russia.Sijui alitakaje,tuache kumwamini anaeishi Russia bali tumwamini yeye aliye na ndugu anaishi RussiaKwahiyo hapa ndiyo umejibu hoja!!!!
Tanzania tunahitaji maombi mazito Sana aisee Kwa Akili kama hizi tutafika kweli?
Utadhani enzi zetu za utotoni,unatamba kuwa una ndugu yako anaishi Dar,wakati wewe uko Mkoani huko tena wilayani[emoji3]hakuna sentensi ya kipuuzi eti .. nina ndugu yangu yuko sehemu fulani....
upuuzi mtupu
Tunashida sana aisee sisi watu, sisiemu imetushinda na likatiba letu tunahangaikia majeshi ya watu na kuwa wajuaji.Wabongo bhana
naona huyu bado ana utotoUtadhani enzi zetu za utotoni,unatamba kuwa una ndugu yako anaishi Dar,wakati wewe uko Mkoani huko tena wilayani[emoji3]
Nikama wew TU, na domo lako kama pyupyusiiiinaona huyu bado ana utoto
Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013
Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina utamaduni. Russia ina watu washindani wenye kuichangamsha dunia kwa kuipa ladha.
Tatizo kubwa linaloiumiza Russia ni Rushwa. Tatizo hili ndiyo chanzo cha hata huu utendaji wa hovyo ulioonyeshwa na Jeshi lake.
Russia imejitahidi sana kuwekeza kwenye huduma za kijamii.
Ukiungalia mtandao wa huduma za afya nchini Russia upo vizuri kuliko Marekani, Russia wamejenga health facilities na kuweka vitanda n.k, lakini huduma ni mbovu.
Wafanyakazi wanafanya kazi kimazoea, serikali kuu yenyewe hakuna transperency. Labda ndiyo ya mwisho barani ulaya kwa kutokuwa na transperency.
Uimarishaji wa Jeshi lake mao unaathiriwa na Rushwa, mafunzo na vitendea kazi ni Rushwa tupu, matokeo yake mafunzo yanakuwa ni yale yasiyo na ubora.
Uundwaji wa mifumi na silaha za kujeshi unawekewa magharama makubwa makubwa, lakini ubora wake unatia mashska sana. Huko kwenye silaha na mifumo ya ulinzi ndiyo watu wanapopigia hela kiulaini sana.
Military research ni njia nyingine ya kupigia hela.
Rushwa ndani Russia ni kama salaam tu. Kati ya nchi 180 duniani Russia ina rank namba 136 kwa kiwango kidogo cha Rushwa.
Kwa nafasi hiyo anayoshika Russia usitarajie lolote at all, ni taifa ambalo lina malizia zama zake
Leo hii tunaona tunaambiwa Kwamba ni jeshi kubwa Sana Duniani kama inavyojipambanua , lakin kuna harufu Ya rushwa Na sabotage kwenye MΓ€li Na mipango Ya jeshi.
Kuna kusaliti kambi Sana kwa kupewa ahadi Na Mali kwa Wanajeshi Na wapiganaji wanaounga mkono Urusi.
UNPROGRESS OF RUSSIA
Hii ngoma inapokwenda si mchezo. Russia wanafanikiwa kutangaza kuteka eneo, lakin hawamalizi siku mbili hapo, kwani uKrainians wanaenda kulichukua tena.
Kherson ilianguka juzi ma Russia wakawa wame take full control na kuanzisha mchakato wa kuwalazimisha watu wa Kherson wapige kura ya kujitenga na Ukraine.
Sasa hivi imeshabadilika tena, Ukraine wameshaanza kurudisha baadhi ya maeneo huko kherson, wakielekea upande wa Mariupol ili kuunganisha maeneo wanayoyateka kutokea Kherson.
Wakati Ukranians wakiielekea Mariupol kutokea Khersons, kumbuka ndani ya Mariupol kuna askari takriban 2,000 wa Russia, akari hao watalazimika kupambana na vikosi hivyo vya Ukraine, kumbuka ndani ya Mariupol kuna takriban akari 700 wa Ukraine ndani ya kile kiwanda, hapo Russian atajikuta analazimika kupambana na Ukranians wanaotokea Kherson kuja Mariupol halafu wale wa kuwandani nao watalianzisha kitu kitakachopelekea Russia wagawanyike ili kuweza kuwakabili.
Russia hapa anazidiwa akili, ili kuweza kupigana na kuendelea kuikamata Mariupol, atalazimika kuligawanya Jeshi lake, ili kuongeza askari zaidi Mariupol, kitendo cha kupunguza askari maenro mengine itakuwa ni sawa na kuyaachia maeneo hayo au kukunali kuuawa kwa askari wake watskaobaki maeneo hayo.
Ukranians wameshajua, maeneo mengi ambayo Russia wameyateka huwa hawana uwezo wala amani ya kuwepo hapo sababu huwa hawakai sana kabla hayajarudishwa, hivyo kuna kipindi huyaacha maeneo hayo ili baadaye waje kuwazunguka. Mbinu hii ya kuzungukwa, Russia wameipenda na wao wameanza kuitumia lakini kila wakijaribu kuzunguka, miduara haikamiliki huishia kukatwa au upungufu wa askari kwa wakati huo hupelekea waishie kuuawa tu.
Wakati Russia anaenda kuivamia Ukraine, alituma askari 150,000, ngoma ikabadilika, askari wa Russia 15,000 wameuawa, sasa hivi jumla ya askari waliopelekwa na Russia nchini Ukraine ni 300,000
Ntaeleweka hapo December December hapo 2022
Britanicca
CIA and other unfriend countries' Intelligence Agencies wapo hapo Russia kupitia hizi balozi, sio Chief!!!? Halafu hata Russia wenyewe hawalijui hili, hawa Russia "weupe" sana kwakweli.Alafu western countries hawajafunga balozi zao ingawa wanagombana kuhusu mafuta na gesi hii inapelekea kufanya njama za kijasusi ili wapate Siri na mbinu anazotumia vitani.
Ni kweli ila hata huyu mleta mada ametulisha matango pori.Nimechoka hapo anapompinga mleta mada ambae anaishi Russia kwa kutumia kigezo cha kuwa na ndugu yake anayeishi Russia.Sijui alitakaje,tuache kumwamini anaeishi Russia bali tumwamini yeye aliye na ndugu anaishi Russia
unaonea wivu mdomo wangu tuNikama wew TU, na domo lako kama pyupyusiiii
Ukraine ni nchi kubwa, kuteka kazi nyepesi ukilinganisha na kudhibiti eneo ulioteka.Kudhibiti maeneo ambayo ameteka itambidi Putin kuhamisha jeshi zima la Urusi Ukraine.Uvamizi wa Putin umefeli kweli kweli.Kherson ilianguka juzi ma Russia wakawa wame take full control na kuanzisha mchakato wa kuwalazimisha watu wa Kherson wapige kura ya kujitenga na Ukraine.
Sasa hivi imeshabadilika tena, Ukraine wameshaanza kurudisha baadhi ya maeneo huko kherson, wakielekea upande wa Mariupol ili kuunganisha maeneo wanayoyateka kutokea Kherson.
Mkuu swala la wewe kutokujua tuna Idadi ya polisi wangapi au wanajeshi Active wangapi nadhani ni vile hujataka kujishughulisha ili uweze kujua idadi yao lakini nakubaliana na wewe kwa swala la vifaa vya kijeshi maana hiyo ni complex issue,si rahisi kupata data zake.Ni kweli ila hata huyu mleta mada ametulisha matango pori.
Kwa hiyo siku hizi ukiishi nchi furani unajua mambo yake mpaka kwenye mambo nyeti ya nchi?
Leo mm nimezaliwa Tz na nimekulia lakini sijui hata Tz ina polisi kiasi gani sembuse kujua ina vifaru na mizinga mingapi?
Kusema ukweli Watz tuna ujuaji mwingi sana na chakushanga kuna watu wanamuamini.
Emu muulize nduguyo tunaskia Russia sasa wanapanga folen kununua kilo ya sukariUnahangaika sana kuhusu URUSI na unadhani umefika au kuishi peke yako. Nina ndugu yangu akienda kusomea Udaktari kwa ufadhili wa serikali na sasa ni mwaka wa 15 huu anaishi huko.
NitarudiNimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013
Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina utamaduni. Russia ina watu washindani wenye kuichangamsha dunia kwa kuipa ladha.
Tatizo kubwa linaloiumiza Russia ni Rushwa. Tatizo hili ndiyo chanzo cha hata huu utendaji wa hovyo ulioonyeshwa na Jeshi lake.
Russia imejitahidi sana kuwekeza kwenye huduma za kijamii.
Ukiungalia mtandao wa huduma za afya nchini Russia upo vizuri kuliko Marekani, Russia wamejenga health facilities na kuweka vitanda n.k, lakini huduma ni mbovu.
Wafanyakazi wanafanya kazi kimazoea, serikali kuu yenyewe hakuna transperency. Labda ndiyo ya mwisho barani ulaya kwa kutokuwa na transperency.
Uimarishaji wa Jeshi lake mao unaathiriwa na Rushwa, mafunzo na vitendea kazi ni Rushwa tupu, matokeo yake mafunzo yanakuwa ni yale yasiyo na ubora.
Uundwaji wa mifumi na silaha za kujeshi unawekewa magharama makubwa makubwa, lakini ubora wake unatia mashska sana. Huko kwenye silaha na mifumo ya ulinzi ndiyo watu wanapopigia hela kiulaini sana.
Military research ni njia nyingine ya kupigia hela.
Rushwa ndani Russia ni kama salaam tu. Kati ya nchi 180 duniani Russia ina rank namba 136 kwa kiwango kidogo cha Rushwa.
Kwa nafasi hiyo anayoshika Russia usitarajie lolote at all, ni taifa ambalo lina malizia zama zake
Leo hii tunaona tunaambiwa Kwamba ni jeshi kubwa Sana Duniani kama inavyojipambanua , lakin kuna harufu Ya rushwa Na sabotage kwenye MΓ€li Na mipango Ya jeshi.
Kuna kusaliti kambi Sana kwa kupewa ahadi Na Mali kwa Wanajeshi Na wapiganaji wanaounga mkono Urusi.
UNPROGRESS OF RUSSIA
Hii ngoma inapokwenda si mchezo. Russia wanafanikiwa kutangaza kuteka eneo, lakin hawamalizi siku mbili hapo, kwani uKrainians wanaenda kulichukua tena.
Kherson ilianguka juzi ma Russia wakawa wame take full control na kuanzisha mchakato wa kuwalazimisha watu wa Kherson wapige kura ya kujitenga na Ukraine.
Sasa hivi imeshabadilika tena, Ukraine wameshaanza kurudisha baadhi ya maeneo huko kherson, wakielekea upande wa Mariupol ili kuunganisha maeneo wanayoyateka kutokea Kherson.
Wakati Ukranians wakiielekea Mariupol kutokea Khersons, kumbuka ndani ya Mariupol kuna askari takriban 2,000 wa Russia, akari hao watalazimika kupambana na vikosi hivyo vya Ukraine, kumbuka ndani ya Mariupol kuna takriban akari 700 wa Ukraine ndani ya kile kiwanda, hapo Russian atajikuta analazimika kupambana na Ukranians wanaotokea Kherson kuja Mariupol halafu wale wa kuwandani nao watalianzisha kitu kitakachopelekea Russia wagawanyike ili kuweza kuwakabili.
Russia hapa anazidiwa akili, ili kuweza kupigana na kuendelea kuikamata Mariupol, atalazimika kuligawanya Jeshi lake, ili kuongeza askari zaidi Mariupol, kitendo cha kupunguza askari maenro mengine itakuwa ni sawa na kuyaachia maeneo hayo au kukunali kuuawa kwa askari wake watskaobaki maeneo hayo.
Ukranians wameshajua, maeneo mengi ambayo Russia wameyateka huwa hawana uwezo wala amani ya kuwepo hapo sababu huwa hawakai sana kabla hayajarudishwa, hivyo kuna kipindi huyaacha maeneo hayo ili baadaye waje kuwazunguka. Mbinu hii ya kuzungukwa, Russia wameipenda na wao wameanza kuitumia lakini kila wakijaribu kuzunguka, miduara haikamiliki huishia kukatwa au upungufu wa askari kwa wakati huo hupelekea waishie kuuawa tu.
Wakati Russia anaenda kuivamia Ukraine, alituma askari 150,000, ngoma ikabadilika, askari wa Russia 15,000 wameuawa, sasa hivi jumla ya askari waliopelekwa na Russia nchini Ukraine ni 300,000
Ntaeleweka hapo December December hapo 2022
Britanicca
Hakuna anaye weza kujua mambo nyeti ya nchi yeyote kwa kigezo cha kuwa mfuatiliaji tofauti na wahusika wanao takiwa kujua.Mkuu swala la wewe kutokujua tuna Idadi ya polisi wangapi au wanajeshi Active wangapi nadhani ni vile hujataka kujishughulisha ili uweze kujua idadi yao lakini nakubaliana na wewe kwa swala la vifaa vya kijeshi maana hiyo ni complex issue,si rahisi kupata data zake.