Nimeishi Urusi najua Tamaduni zake, pamoja na Ukubwa wa Jeshi lake Rushwa ndiyo inawafanya wasikamilishe malengo kwa muda

Kifaru cha Urus sasa kinauzwa dola elfu 5 wapiganaji wa Russia wanakuachia na yale magari yenye makombora masafa marefu kila gari dola elfu 10 wanachukua na kujifanya wametekwa hawataki kurudi Russia ukiwapa watauawa!!!

Ndege za kivita dola laki moja mrusi anatua bila kuachia mabomu anakabidhi ndege na mibomu yote intact anakwambia mishahara midogo jeshini wakubwa wanakula kwa urefu wa kamba zao .Putin na magenerali wa Jeshi Sisi huku chini choka mbaya nipe ila usinirudishe Urusi

Ila Urusi sirudi hata ukitaka heri uniue wewe
Duh! kweli wanapenda Rushwa..
 
Kwahiyo hapa ndiyo umejibu hoja!!!!
Tanzania tunahitaji maombi mazito Sana aisee Kwa Akili kama hizi tutafika kweli?
Nimechoka hapo anapompinga mleta mada ambae anaishi Russia kwa kutumia kigezo cha kuwa na ndugu yake anayeishi Russia.Sijui alitakaje,tuache kumwamini anaeishi Russia bali tumwamini yeye aliye na ndugu anaishi Russia
 
Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013

Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina utamaduni. Russia ina watu washindani wenye kuichangamsha dunia kwa kuipa ladha.

Tatizo kubwa linaloiumiza Russia ni Rushwa. Tatizo hili ndiyo chanzo cha hata huu utendaji wa hovyo ulioonyeshwa na Jeshi lake.
Russia imejitahidi sana kuwekeza kwenye huduma za kijamii.

Ukiungalia mtandao wa huduma za afya nchini Russia upo vizuri kuliko Marekani, Russia wamejenga health facilities na kuweka vitanda n.k, lakini huduma ni mbovu.

Wafanyakazi wanafanya kazi kimazoea, serikali kuu yenyewe hakuna transperency. Labda ndiyo ya mwisho barani ulaya kwa kutokuwa na transperency.

Uimarishaji wa Jeshi lake mao unaathiriwa na Rushwa, mafunzo na vitendea kazi ni Rushwa tupu, matokeo yake mafunzo yanakuwa ni yale yasiyo na ubora.

Uundwaji wa mifumi na silaha za kujeshi unawekewa magharama makubwa makubwa, lakini ubora wake unatia mashska sana. Huko kwenye silaha na mifumo ya ulinzi ndiyo watu wanapopigia hela kiulaini sana.

Military research ni njia nyingine ya kupigia hela.

Rushwa ndani Russia ni kama salaam tu. Kati ya nchi 180 duniani Russia ina rank namba 136 kwa kiwango kidogo cha Rushwa.

Kwa nafasi hiyo anayoshika Russia usitarajie lolote at all, ni taifa ambalo lina malizia zama zake

Leo hii tunaona tunaambiwa Kwamba ni jeshi kubwa Sana Duniani kama inavyojipambanua , lakin kuna harufu Ya rushwa Na sabotage kwenye MΓ€li Na mipango Ya jeshi.

Kuna kusaliti kambi Sana kwa kupewa ahadi Na Mali kwa Wanajeshi Na wapiganaji wanaounga mkono Urusi.

UNPROGRESS OF RUSSIA
Hii ngoma inapokwenda si mchezo. Russia wanafanikiwa kutangaza kuteka eneo, lakin hawamalizi siku mbili hapo, kwani uKrainians wanaenda kulichukua tena.

Kherson ilianguka juzi ma Russia wakawa wame take full control na kuanzisha mchakato wa kuwalazimisha watu wa Kherson wapige kura ya kujitenga na Ukraine.

Sasa hivi imeshabadilika tena, Ukraine wameshaanza kurudisha baadhi ya maeneo huko kherson, wakielekea upande wa Mariupol ili kuunganisha maeneo wanayoyateka kutokea Kherson.

Wakati Ukranians wakiielekea Mariupol kutokea Khersons, kumbuka ndani ya Mariupol kuna askari takriban 2,000 wa Russia, akari hao watalazimika kupambana na vikosi hivyo vya Ukraine, kumbuka ndani ya Mariupol kuna takriban akari 700 wa Ukraine ndani ya kile kiwanda, hapo Russian atajikuta analazimika kupambana na Ukranians wanaotokea Kherson kuja Mariupol halafu wale wa kuwandani nao watalianzisha kitu kitakachopelekea Russia wagawanyike ili kuweza kuwakabili.

Russia hapa anazidiwa akili, ili kuweza kupigana na kuendelea kuikamata Mariupol, atalazimika kuligawanya Jeshi lake, ili kuongeza askari zaidi Mariupol, kitendo cha kupunguza askari maenro mengine itakuwa ni sawa na kuyaachia maeneo hayo au kukunali kuuawa kwa askari wake watskaobaki maeneo hayo.

Ukranians wameshajua, maeneo mengi ambayo Russia wameyateka huwa hawana uwezo wala amani ya kuwepo hapo sababu huwa hawakai sana kabla hayajarudishwa, hivyo kuna kipindi huyaacha maeneo hayo ili baadaye waje kuwazunguka. Mbinu hii ya kuzungukwa, Russia wameipenda na wao wameanza kuitumia lakini kila wakijaribu kuzunguka, miduara haikamiliki huishia kukatwa au upungufu wa askari kwa wakati huo hupelekea waishie kuuawa tu.

Wakati Russia anaenda kuivamia Ukraine, alituma askari 150,000, ngoma ikabadilika, askari wa Russia 15,000 wameuawa, sasa hivi jumla ya askari waliopelekwa na Russia nchini Ukraine ni 300,000

Ntaeleweka hapo December December hapo 2022

Britanicca

Lakini hii intel na hizi strategies ni wa kraine wenyewe kwel ama wanapewa mbinu tokea west manake akil kubwa sana, hasa wale askari waliokwama kwenye kile kiwanda nilijua wazi kabisa ni mbinu
 
Alafu western countries hawajafunga balozi zao ingawa wanagombana kuhusu mafuta na gesi hii inapelekea kufanya njama za kijasusi ili wapate Siri na mbinu anazotumia vitani.
CIA and other unfriend countries' Intelligence Agencies wapo hapo Russia kupitia hizi balozi, sio Chief!!!? Halafu hata Russia wenyewe hawalijui hili, hawa Russia "weupe" sana kwakweli.
 
Nimechoka hapo anapompinga mleta mada ambae anaishi Russia kwa kutumia kigezo cha kuwa na ndugu yake anayeishi Russia.Sijui alitakaje,tuache kumwamini anaeishi Russia bali tumwamini yeye aliye na ndugu anaishi Russia
Ni kweli ila hata huyu mleta mada ametulisha matango pori.

Kwa hiyo siku hizi ukiishi nchi furani unajua mambo yake mpaka kwenye mambo nyeti ya nchi?
Leo mm nimezaliwa Tz na nimekulia lakini sijui hata Tz ina polisi kiasi gani sembuse kujua ina vifaru na mizinga mingapi?

Kusema ukweli Watz tuna ujuaji mwingi sana na chakushanga kuna watu wanamuamini.
 
Kherson ilianguka juzi ma Russia wakawa wame take full control na kuanzisha mchakato wa kuwalazimisha watu wa Kherson wapige kura ya kujitenga na Ukraine.

Sasa hivi imeshabadilika tena, Ukraine wameshaanza kurudisha baadhi ya maeneo huko kherson, wakielekea upande wa Mariupol ili kuunganisha maeneo wanayoyateka kutokea Kherson.
Ukraine ni nchi kubwa, kuteka kazi nyepesi ukilinganisha na kudhibiti eneo ulioteka.Kudhibiti maeneo ambayo ameteka itambidi Putin kuhamisha jeshi zima la Urusi Ukraine.Uvamizi wa Putin umefeli kweli kweli.
 
Ni kweli ila hata huyu mleta mada ametulisha matango pori.

Kwa hiyo siku hizi ukiishi nchi furani unajua mambo yake mpaka kwenye mambo nyeti ya nchi?
Leo mm nimezaliwa Tz na nimekulia lakini sijui hata Tz ina polisi kiasi gani sembuse kujua ina vifaru na mizinga mingapi?

Kusema ukweli Watz tuna ujuaji mwingi sana na chakushanga kuna watu wanamuamini.
Mkuu swala la wewe kutokujua tuna Idadi ya polisi wangapi au wanajeshi Active wangapi nadhani ni vile hujataka kujishughulisha ili uweze kujua idadi yao lakini nakubaliana na wewe kwa swala la vifaa vya kijeshi maana hiyo ni complex issue,si rahisi kupata data zake.
 
Unahangaika sana kuhusu URUSI na unadhani umefika au kuishi peke yako. Nina ndugu yangu akienda kusomea Udaktari kwa ufadhili wa serikali na sasa ni mwaka wa 15 huu anaishi huko.
Emu muulize nduguyo tunaskia Russia sasa wanapanga folen kununua kilo ya sukari
 
Britanica= Tiss ? very likely. story zake zinajieleza
 
Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013

Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina utamaduni. Russia ina watu washindani wenye kuichangamsha dunia kwa kuipa ladha.

Tatizo kubwa linaloiumiza Russia ni Rushwa. Tatizo hili ndiyo chanzo cha hata huu utendaji wa hovyo ulioonyeshwa na Jeshi lake.
Russia imejitahidi sana kuwekeza kwenye huduma za kijamii.

Ukiungalia mtandao wa huduma za afya nchini Russia upo vizuri kuliko Marekani, Russia wamejenga health facilities na kuweka vitanda n.k, lakini huduma ni mbovu.

Wafanyakazi wanafanya kazi kimazoea, serikali kuu yenyewe hakuna transperency. Labda ndiyo ya mwisho barani ulaya kwa kutokuwa na transperency.

Uimarishaji wa Jeshi lake mao unaathiriwa na Rushwa, mafunzo na vitendea kazi ni Rushwa tupu, matokeo yake mafunzo yanakuwa ni yale yasiyo na ubora.

Uundwaji wa mifumi na silaha za kujeshi unawekewa magharama makubwa makubwa, lakini ubora wake unatia mashska sana. Huko kwenye silaha na mifumo ya ulinzi ndiyo watu wanapopigia hela kiulaini sana.

Military research ni njia nyingine ya kupigia hela.

Rushwa ndani Russia ni kama salaam tu. Kati ya nchi 180 duniani Russia ina rank namba 136 kwa kiwango kidogo cha Rushwa.

Kwa nafasi hiyo anayoshika Russia usitarajie lolote at all, ni taifa ambalo lina malizia zama zake

Leo hii tunaona tunaambiwa Kwamba ni jeshi kubwa Sana Duniani kama inavyojipambanua , lakin kuna harufu Ya rushwa Na sabotage kwenye MΓ€li Na mipango Ya jeshi.

Kuna kusaliti kambi Sana kwa kupewa ahadi Na Mali kwa Wanajeshi Na wapiganaji wanaounga mkono Urusi.

UNPROGRESS OF RUSSIA
Hii ngoma inapokwenda si mchezo. Russia wanafanikiwa kutangaza kuteka eneo, lakin hawamalizi siku mbili hapo, kwani uKrainians wanaenda kulichukua tena.

Kherson ilianguka juzi ma Russia wakawa wame take full control na kuanzisha mchakato wa kuwalazimisha watu wa Kherson wapige kura ya kujitenga na Ukraine.

Sasa hivi imeshabadilika tena, Ukraine wameshaanza kurudisha baadhi ya maeneo huko kherson, wakielekea upande wa Mariupol ili kuunganisha maeneo wanayoyateka kutokea Kherson.

Wakati Ukranians wakiielekea Mariupol kutokea Khersons, kumbuka ndani ya Mariupol kuna askari takriban 2,000 wa Russia, akari hao watalazimika kupambana na vikosi hivyo vya Ukraine, kumbuka ndani ya Mariupol kuna takriban akari 700 wa Ukraine ndani ya kile kiwanda, hapo Russian atajikuta analazimika kupambana na Ukranians wanaotokea Kherson kuja Mariupol halafu wale wa kuwandani nao watalianzisha kitu kitakachopelekea Russia wagawanyike ili kuweza kuwakabili.

Russia hapa anazidiwa akili, ili kuweza kupigana na kuendelea kuikamata Mariupol, atalazimika kuligawanya Jeshi lake, ili kuongeza askari zaidi Mariupol, kitendo cha kupunguza askari maenro mengine itakuwa ni sawa na kuyaachia maeneo hayo au kukunali kuuawa kwa askari wake watskaobaki maeneo hayo.

Ukranians wameshajua, maeneo mengi ambayo Russia wameyateka huwa hawana uwezo wala amani ya kuwepo hapo sababu huwa hawakai sana kabla hayajarudishwa, hivyo kuna kipindi huyaacha maeneo hayo ili baadaye waje kuwazunguka. Mbinu hii ya kuzungukwa, Russia wameipenda na wao wameanza kuitumia lakini kila wakijaribu kuzunguka, miduara haikamiliki huishia kukatwa au upungufu wa askari kwa wakati huo hupelekea waishie kuuawa tu.

Wakati Russia anaenda kuivamia Ukraine, alituma askari 150,000, ngoma ikabadilika, askari wa Russia 15,000 wameuawa, sasa hivi jumla ya askari waliopelekwa na Russia nchini Ukraine ni 300,000

Ntaeleweka hapo December December hapo 2022

Britanicca
Nitarudi
 
Mkuu swala la wewe kutokujua tuna Idadi ya polisi wangapi au wanajeshi Active wangapi nadhani ni vile hujataka kujishughulisha ili uweze kujua idadi yao lakini nakubaliana na wewe kwa swala la vifaa vya kijeshi maana hiyo ni complex issue,si rahisi kupata data zake.
Hakuna anaye weza kujua mambo nyeti ya nchi yeyote kwa kigezo cha kuwa mfuatiliaji tofauti na wahusika wanao takiwa kujua.
Kama ndio hivyo basi kusingekuwa na haja ya mataifa kufanyiana ujasusi kama mambo ni rahisi namna hiyo.

Hapa ni kuendekeza uongo na ujuaji usikuwa na maana kama kawaida yetu watz.
 
Back
Top Bottom