Nimeishi Urusi najua Tamaduni zake, pamoja na Ukubwa wa Jeshi lake Rushwa ndiyo inawafanya wasikamilishe malengo kwa muda

Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013

Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina utamaduni. Russia ina watu washindani wenye kuichangamsha dunia kwa kuipa ladha.

Tatizo kubwa linaloiumiza Russia ni Rushwa. Tatizo hili ndiyo chanzo cha hata huu utendaji wa hovyo ulioonyeshwa na Jeshi lake.
Russia imejitahidi sana kuwekeza kwenye huduma za kijamii.

Ukiungalia mtandao wa huduma za afya nchini Russia upo vizuri kuliko Marekani, Russia wamejenga health facilities na kuweka vitanda n.k, lakini huduma ni mbovu.

Wafanyakazi wanafanya kazi kimazoea, serikali kuu yenyewe hakuna transperency. Labda ndiyo ya mwisho barani ulaya kwa kutokuwa na transperency.

Uimarishaji wa Jeshi lake mao unaathiriwa na Rushwa, mafunzo na vitendea kazi ni Rushwa tupu, matokeo yake mafunzo yanakuwa ni yale yasiyo na ubora.

Uundwaji wa mifumi na silaha za kujeshi unawekewa magharama makubwa makubwa, lakini ubora wake unatia mashska sana. Huko kwenye silaha na mifumo ya ulinzi ndiyo watu wanapopigia hela kiulaini sana.

Military research ni njia nyingine ya kupigia hela.

Rushwa ndani Russia ni kama salaam tu. Kati ya nchi 180 duniani Russia ina rank namba 136 kwa kiwango kidogo cha Rushwa.

Kwa nafasi hiyo anayoshika Russia usitarajie lolote at all, ni taifa ambalo lina malizia zama zake

Leo hii tunaona tunaambiwa Kwamba ni jeshi kubwa Sana Duniani kama inavyojipambanua , lakin kuna harufu Ya rushwa Na sabotage kwenye Mäli Na mipango Ya jeshi.

Kuna kusaliti kambi Sana kwa kupewa ahadi Na Mali kwa Wanajeshi Na wapiganaji wanaounga mkono Urusi.

UNPROGRESS OF RUSSIA
Hii ngoma inapokwenda si mchezo. Russia wanafanikiwa kutangaza kuteka eneo, lakin hawamalizi siku mbili hapo, kwani uKrainians wanaenda kulichukua tena.

Kherson ilianguka juzi ma Russia wakawa wame take full control na kuanzisha mchakato wa kuwalazimisha watu wa Kherson wapige kura ya kujitenga na Ukraine.

Sasa hivi imeshabadilika tena, Ukraine wameshaanza kurudisha baadhi ya maeneo huko kherson, wakielekea upande wa Mariupol ili kuunganisha maeneo wanayoyateka kutokea Kherson.

Wakati Ukranians wakiielekea Mariupol kutokea Khersons, kumbuka ndani ya Mariupol kuna askari takriban 2,000 wa Russia, akari hao watalazimika kupambana na vikosi hivyo vya Ukraine, kumbuka ndani ya Mariupol kuna takriban akari 700 wa Ukraine ndani ya kile kiwanda, hapo Russian atajikuta analazimika kupambana na Ukranians wanaotokea Kherson kuja Mariupol halafu wale wa kuwandani nao watalianzisha kitu kitakachopelekea Russia wagawanyike ili kuweza kuwakabili.

Russia hapa anazidiwa akili, ili kuweza kupigana na kuendelea kuikamata Mariupol, atalazimika kuligawanya Jeshi lake, ili kuongeza askari zaidi Mariupol, kitendo cha kupunguza askari maenro mengine itakuwa ni sawa na kuyaachia maeneo hayo au kukunali kuuawa kwa askari wake watskaobaki maeneo hayo.

Ukranians wameshajua, maeneo mengi ambayo Russia wameyateka huwa hawana uwezo wala amani ya kuwepo hapo sababu huwa hawakai sana kabla hayajarudishwa, hivyo kuna kipindi huyaacha maeneo hayo ili baadaye waje kuwazunguka. Mbinu hii ya kuzungukwa, Russia wameipenda na wao wameanza kuitumia lakini kila wakijaribu kuzunguka, miduara haikamiliki huishia kukatwa au upungufu wa askari kwa wakati huo hupelekea waishie kuuawa tu.

Wakati Russia anaenda kuivamia Ukraine, alituma askari 150,000, ngoma ikabadilika, askari wa Russia 15,000 wameuawa, sasa hivi jumla ya askari waliopelekwa na Russia nchini Ukraine ni 300,000

Ntaeleweka hapo December December hapo 2022

Britanicca
Umeongea kishabiki pasipo kuwa na ukweli wa mambo.wala huna taarifa sahihi za kwenye uwanja wa vita
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa umeishi URUSI na ukafanikiwa kujua ukubwa wa JESHI LAKE???

Hebu nijuze umezaliwa na kukulia TZ unajua tuna vikosi vingapi?
Ndege ngapi
Vifaru
Nk.
Acha ujinga wako!!
Huyo yupo hapa hapa Tz mkoani.ana google vitu analeta hapa.
 
Sahihi kabisa,alishawahi kutuletea story ya yule Dr.Shika(900 itapendeza) alisema anamjua tangu wakiwa urussi,story ilikua ya full uongo.

Story zake za khs Russia hus anazitoa Kule Quora.com
 
urusi ya buza na wale walioonewa ndugu zao syria,afghan,iraq watakuja kukubishia mda sio mfupi
 
Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013

Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina utamaduni. Russia ina watu washindani wenye kuichangamsha dunia kwa kuipa ladha.

Tatizo kubwa linaloiumiza Russia ni Rushwa. Tatizo hili ndiyo chanzo cha hata huu utendaji wa hovyo ulioonyeshwa na Jeshi lake.
Russia imejitahidi sana kuwekeza kwenye huduma za kijamii.

Ukiungalia mtandao wa huduma za afya nchini Russia upo vizuri kuliko Marekani, Russia wamejenga health facilities na kuweka vitanda n.k, lakini huduma ni mbovu.

Wafanyakazi wanafanya kazi kimazoea, serikali kuu yenyewe hakuna transperency. Labda ndiyo ya mwisho barani ulaya kwa kutokuwa na transperency.

Uimarishaji wa Jeshi lake mao unaathiriwa na Rushwa, mafunzo na vitendea kazi ni Rushwa tupu, matokeo yake mafunzo yanakuwa ni yale yasiyo na ubora.

Uundwaji wa mifumi na silaha za kujeshi unawekewa magharama makubwa makubwa, lakini ubora wake unatia mashska sana. Huko kwenye silaha na mifumo ya ulinzi ndiyo watu wanapopigia hela kiulaini sana.

Military research ni njia nyingine ya kupigia hela.

Rushwa ndani Russia ni kama salaam tu. Kati ya nchi 180 duniani Russia ina rank namba 136 kwa kiwango kidogo cha Rushwa.

Kwa nafasi hiyo anayoshika Russia usitarajie lolote at all, ni taifa ambalo lina malizia zama zake

Leo hii tunaona tunaambiwa Kwamba ni jeshi kubwa Sana Duniani kama inavyojipambanua , lakin kuna harufu Ya rushwa Na sabotage kwenye Mäli Na mipango Ya jeshi.

Kuna kusaliti kambi Sana kwa kupewa ahadi Na Mali kwa Wanajeshi Na wapiganaji wanaounga mkono Urusi.

UNPROGRESS OF RUSSIA
Hii ngoma inapokwenda si mchezo. Russia wanafanikiwa kutangaza kuteka eneo, lakin hawamalizi siku mbili hapo, kwani uKrainians wanaenda kulichukua tena.

Kherson ilianguka juzi ma Russia wakawa wame take full control na kuanzisha mchakato wa kuwalazimisha watu wa Kherson wapige kura ya kujitenga na Ukraine.

Sasa hivi imeshabadilika tena, Ukraine wameshaanza kurudisha baadhi ya maeneo huko kherson, wakielekea upande wa Mariupol ili kuunganisha maeneo wanayoyateka kutokea Kherson.

Wakati Ukranians wakiielekea Mariupol kutokea Khersons, kumbuka ndani ya Mariupol kuna askari takriban 2,000 wa Russia, akari hao watalazimika kupambana na vikosi hivyo vya Ukraine, kumbuka ndani ya Mariupol kuna takriban akari 700 wa Ukraine ndani ya kile kiwanda, hapo Russian atajikuta analazimika kupambana na Ukranians wanaotokea Kherson kuja Mariupol halafu wale wa kuwandani nao watalianzisha kitu kitakachopelekea Russia wagawanyike ili kuweza kuwakabili.

Russia hapa anazidiwa akili, ili kuweza kupigana na kuendelea kuikamata Mariupol, atalazimika kuligawanya Jeshi lake, ili kuongeza askari zaidi Mariupol, kitendo cha kupunguza askari maenro mengine itakuwa ni sawa na kuyaachia maeneo hayo au kukunali kuuawa kwa askari wake watskaobaki maeneo hayo.

Ukranians wameshajua, maeneo mengi ambayo Russia wameyateka huwa hawana uwezo wala amani ya kuwepo hapo sababu huwa hawakai sana kabla hayajarudishwa, hivyo kuna kipindi huyaacha maeneo hayo ili baadaye waje kuwazunguka. Mbinu hii ya kuzungukwa, Russia wameipenda na wao wameanza kuitumia lakini kila wakijaribu kuzunguka, miduara haikamiliki huishia kukatwa au upungufu wa askari kwa wakati huo hupelekea waishie kuuawa tu.

Wakati Russia anaenda kuivamia Ukraine, alituma askari 150,000, ngoma ikabadilika, askari wa Russia 15,000 wameuawa, sasa hivi jumla ya askari waliopelekwa na Russia nchini Ukraine ni 300,000

Ntaeleweka hapo December December hapo 2022

Britanicca
Ndio maana ulituongopea kwenye kisa cha Dr Shika, ukaenda ukaokota picha Google ukatudanganya kuwa hapo ndipo alikuwa akiishi 🤣 umefika ukapiga picha.
Na wana JF wakakusifu na kukuabudu kwa makofi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa umeishi URUSI na ukafanikiwa kujua ukubwa wa JESHI LAKE???

Hebu nijuze umezaliwa na kukulia TZ unajua tuna vikosi vingapi?
Ndege ngapi
Vifaru
Nk.
Acha ujinga wako!!

hivi unajua jirani yako anafahamu vingi kuliko ndugu yako.
jirani yako anafahamu hata ugegedi vizuri ila ndugu yako afahamu.
basi kuwepo sehemu ambayo si kwenu unafahamu vingi haraka kuliko kwenu
 
Ndio maana ulituongopea kwenye kisa cha Dr Shika, ukaenda ukaokota picha Google ukatudanganya kuwa hapo ndipo alikuwa akiishi 🤣 umefika ukapiga picha.
Na wana JF wakakusifu na kukuabudu kwa makofi.
Utanaka nikutumie Location? Hautauza mechi?
 
Tena tandahimba sio mjini in namikupa kwanganyama
Huyu alidanganya watu humu kuwa yuko Urusi anafuatilia kisa cha dr. Shika eti amefika hadi alipokuwa anaishi akapiga hadi picha, kumbe picha kaitoa Google.
Jf is the only place that anyone can be anybody and anywhere.
 
Utanaka nikutumie Location? Hautauza mechi?
Haaa location zinatengenezwa, I am a master wa kuchange location huko mtandaoni kutrick systems.
Sema nikupongeze hata ukiumbuliwa uwa huna.matusi na unalike
 
CIA and other unfriend countries' Intelligence Agencies wapo hapo Russia kupitia hizi balozi, sio Chief!!!? Halafu hata Russia wenyewe hawalijui hili, hawa Russia "weupe" sana kwakweli.
Bro acha kuamini war propaganda USA wenyewe walitoa takwimu kuonyesha Russia aijatumia hata 20% ya nguvu zake kijeshi kwahyo acha kuwatukana Russia sio mchezo bro, remind u Russia ana silaha za nuclear nyingi kuliko nchi yoyote duniani.
 
Haaa location zinatengenezwa, I am a master wa kuchange location huko mtandaoni kutrick systems.
Sema nikupongeze hata ukiumbuliwa uwa huna.matusi na unalike
 
Bro acha kuamini war propaganda USA wenyewe walitoa takwimu kuonyesha Russia aijatumia hata 20% ya nguvu zake kijeshi kwahyo acha kuwatukana Russia sio mchezo bro, remind u Russia ana silaha za nuclear nyingi kuliko nchi yoyote duniani.
Know sarcasm when you see it Broh!
 
Back
Top Bottom