Nimeisikia mahali na nimethibitisha kwamba ni kweli ila sababu bado siijui. Wenye hekima na maarifa, tafadhali mtujuze

vis kipo

Senior Member
Joined
Aug 30, 2020
Posts
170
Reaction score
332
Kwamba...... Unapoingia chooni au hata upenuni kwa ajili ya haja ndogo... Utasimama au kuchutama (kwa wanawake) ukielekea au kutazama kule unakokojoa....
Lakini ikiwa ni haja kubwa, unapochutama lazima ugeuke kutazama ulipotokea ndipo ujisaidie.
Kwa nini IPO hivyo?
 
Unaweza kufanya vice versa sio lazima ufate mazoea. Kila la heri.
 
Kwamba...... Unapoingia chooni au hata upenuni kwa ajili ya haja ndogo... Utasimama au kuchutama (kwa wanawake) ukielekea au kutazama kule unakokojoa....
Lakini ikiwa ni haja kubwa, unapochutama lazima ugeuke kutazama ulipotokea ndipo ujisaidie.
Kwa nini IPO hivyo?
Action of nature or nurture
 
Hata sijui kwnn nimechangia hii mada ila ukweli ni kuwa kuna tafti nyingi zakijinga zinafata huko mbeleni. Na mm nitaleta yangu.
 
Back
Top Bottom