Nimeisikia mahali na nimethibitisha kwamba ni kweli ila sababu bado siijui. Wenye hekima na maarifa, tafadhali mtujuze

Nimeisikia mahali na nimethibitisha kwamba ni kweli ila sababu bado siijui. Wenye hekima na maarifa, tafadhali mtujuze

Kwamba...... Unapoingia chooni au hata upenuni kwa ajili ya haja ndogo... Utasimama au kuchutama (kwa wanawake) ukielekea au kutazama kule unakokojoa....
Lakini ikiwa ni haja kubwa, unapochutama lazima ugeuke kutazama ulipotokea ndipo ujisaidie.
Kwa nini IPO hivyo?
Ukienda kizembe inakuwa sio private tena kwa maana ya kuhakiki uwezekano wa harufu na sauti kuvuka mipaka ya kuta za choo. NDO MAANA HUWA MNAGEUKA MLIPOTOKEA.
 
Back
Top Bottom