Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

CHIKIRA MTABARI NJOO UONE MWISHO WA DUNIA SHOST
 
Nilihisi kuanzisha uzi mpya connection ingekuwa mbali,kidogo,may be ngoja nijaribu kuuanzisha,japo hata nguvu za kuandika zimeniisha,I'm very down aisee!!!
POLE SANA AISEE HUYO DADA SIO WA NCHI HII *****.ANASEMAJE SASA?
 
POLE SANA AISEE HUYO DADA SIO WA NCHI HII *****.ANASEMAJE SASA?
Amefika home jana usiku,kwani alikuwa safarini Mwanza,sijaongea naye chochote mpaka sasa,nina hasira ile mbaya,tupo naye Ofisini hapa,hajui chochote kinachoendelea!!
 
Bismilah .. €€€€€€¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥@@@@ huyu kijana Ana nyota ya punda.kaziyake kubeba mizigo...binti alijaribu kukuunganisha na nyota yake..iliupate nyota ya KUKU..kaziyake kuparua Chini..majibu..usimuache
 
UNA MVUTO WEWE? UMEMUWEKA NANI KWENYE CHUPI?
Yaani nimesoma huu uzi hadi ninaogopa. Namshauri mleta mada/uzi amuache huyu dada. Kwanza kitendo cha kuwa jasiri kutaka kumuua Rose ina maana kumbe huyu ni muuaji.
Na nyie vijana, wanaume mkome kuvuta wanawake ndani, unaishi naye hata huja scan environment.
Si ajabu hata huko alikoenda ameongeza "anti-virus" wala hutaweza kumtimua kama unavyodhani.
 
Duuuh,mkuu Is this serious????
 
Amefika home jana usiku,kwani alikuwa safarini Mwanza,sijaongea naye chochote mpaka sasa,nina hasira ile mbaya,tupo naye Ofisini hapa,hajui chochote kinachoendelea!!
Huyo achana naye, mwanamke au hata mwanamme anayependa kushika madawa sio mtu mwema, atakuja kupewa dawa za mapenzi akuwekee kumbe ni sumu au hata zikuletee magonjwa ya ini na saratani. Mwambie laivu, yoooote, na mwambie kuwa kwa tabia hiyo humtaki, na pia mdanganye kuwa umewaambia ndugu zako wote kuhusu tabia yake, na pia umearifu vyombo vya dola kwa hiyo akijaribu kufanya lolote baya juu yako ajue kuwa atakuwa kwenye mikono ya sheria. mfyuuuuuuuuuuuuu kaniudhi sana, sipendi washirikina mie
 
Kinachoniumiza ni kwamba tupo ofisi moja,leo imenilazimu kuomba ruhusa ya kwenda masomoni,ili nimuachie kila kitu,nikaanze maisha mapya,sitarudi tena!!na mbaya zaidi ni kwamba amekuwa mhudhuriaji mzuri sana wa kanisani na ni mwimbaji wa kwaya,hii ilifanya niamini kwamba no MTU sahihi kabisa,lakini kumbe daaah!!!
 
UNAISHIJE NA MTU HUJAMUOA? NDO MAANA MNALOGWA UNAGEGEDA MIAKA NA MIAKA HADI MTU ANADANGANYIKA NA WALIMWENGU
 
AKIMUACHA ITAKUWA BALAA ATAENDA KUPASUA CHUNGU WAFE UKOO MZIMA
 
AHAAAA ANAIMBA KWAYA GANI?
 

Kiongozi nachukia sana uchawi na ushirikina. hawa watu wanaojifanya swala tano au awanaosali sana makanisani huko na wengine ya kiroho ndio zao baadhi yao wanatumia kivuli hicho kuficha ufedhuli wao

ingekuwa mimi ndio wewe, haraka sana ningemwachilia mbali. mwache aende mwachie kila kitu anza upya Mungu kakuonyesha mapemaaaaaaa........bora hata ungemfumania na mwanaume mwingine, ila sio hili mkuu. ni hatari ni muuaji huyo kama anaweza kumuua mzazi mwenzio!

dah!

Mungu atunusuru

CC Asprin espy mahondaw mshana jr CHIKIRA MTABARI Heaven Sent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…