Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

Hatuishi pamoja Mkuu,tunaishi jirani,(that is why ukisoma hiyo karatasi yake anasema "akija kwangu asimfikirie mwanamke mwingine....)
Isipokuwa tupo ofisi moja!!!!
 
AKIMUACHA ITAKUWA BALAA ATAENDA KUPASUA CHUNGU WAFE UKOO MZIMA
hahahah, chungu si nasikia kinaleta madhara kama kweli mtuhumiwa anatuhuma za ukweli. amuache bwana wa nini huyo, halafu atamuulia Rose wake na mwanae
 
@Kaizer
 
Ni kweli Kaizer
 
NATANIA MKUU ILA HUYU DADA NI HATARI UMEONA HYO PART TWO YA LEO?

nimeiona si ndio nimestuka kwamba ni something serious, unajua sie wakongwe hapa JF kuna thread zingine vijana wanatunga ila hii hapana inaonekana ni kweli, of which ni hatari sana
 
Yaani yote hayo anafanya kwa ajili ya "DUDE" siyo? Hatari sana. Pole mkuu. Acahana naye. Uchawi wa mapenzi ni wewe kukomaa na Mungu.
 
nimeiona si ndio nimestuka kwamba ni something serious, unajua sie wakongwe hapa JF kuna thread zingine vijana wanatunga ila hii hapana inaonekana ni kweli, of which ni hatari sana
Mkuu hii ni kweli kabisa,hata kazi nashindwa kabisa kufanya,coz picha ya hili tukio hainitoki kabisa,mbaya zaidi mhusika yupo hapa hapa ofisini kwangu,ni jambo gumu sana kulivumilia!!
 
Mkuu hii ni kweli kabisa,hata kazi nashindwa kabisa kufanya,coz picha ya hili tukio hainitoki kabisa,mbaya zaidi mhusika yupo hapa hapa ofisini kwangu,ni jambo gumu sana kulivumilia!!
USICHEZEE KAZI MKUU MAGU KABANA .UNAUMIA NINI NA PICHA UMEIONA LIVE?
 
AHAAA wadada walokole bna ? busy na manabii wao .wengine tunaonekana malaya eti hatujaokoka sio wife material .Mungu anawaona sasa wacha mlogwe myweshwe period za upako huko aah

hao ndio wale zilongwe mbali zitendwa mbali, wanafiki wa kutupwa!
 
Mkuu hii ni kweli kabisa,hata kazi nashindwa kabisa kufanya,coz picha ya hili tukio hainitoki kabisa,mbaya zaidi mhusika yupo hapa hapa ofisini kwangu,ni jambo gumu sana kulivumilia!!

Pole sana mkuu wangu nakuelewa sana kifupi naunga mkono maamuzi yako, ukiona vipi kama uhusiano wenu ulikuwa rasmi sana muache pia kirasmi kwa sababu ya hayo mambo yake kisha sepa hapo job kusoma kama ulivosema,
 
inaonekana anakuombea muwe na maisha mazuri hasa neno la katikati kama linasema mali iongezeke, nampenda mme wangu asiwe na wasiwasi mimi ni wa kwake, tuwe na maisha bora, tupendane sana, tuaminiane sana.
hiyo picha anatembea nayo ili akikumis aangalie picha, na akitongozwa aoneshe picha kuwa ninaye mtu tayaru huyu apa.
 
Kemea kwa jina Yesu,hiyo ni hatari sana,huyo ni mshirikina anatumia nguvu za giza...
 
Hommie hapa kuna jambo gani? Kama ni uchawi ngoja nitangulie mlimani kuwaombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…