Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

Hicho sio kiarabu babaa, ni lugha yakuzimu hyooo! Ushairi wngu nenda kwa shekh wakupige ruqya, tena uharakishe baba..
 
usihof mkuu !!!mana yake hapo haielewek nimejitahd ku concentrate ila nime ambulia sufuri izo ni code za waganga ila hico sio kiarab tulifunzwa madrasat Muombe
 
Hahaha kasheshe
 
Naomba mnisaidie tafsiri tu,nijue hayo maandishi yana maana gani???
Hicho sio kiarabu bwana labda ni kiganga na huyo mganga kamdanganya kua na Amani na Imani ya kweli huwezi kupatwa na kitu.
 
Chukua hivyo vitu, kama ni Mkristu Mwagia Maji ya Baraka halafu vichome moto. Kama ni Muislam peleka kwa Shekhe atakusaidia. Tena ufanye haraka kabla hajaanza kuvitumia.
 
Hicho sio kiarabu bwana labda ni kiganga na huyo mganga kamdanganya kua na Amani na Imani ya kweli huwezi kupatwa na kitu.
Jamani dear una tabasamu tamu hadi rohoo yangu inadundadunda![emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…