Princess qute
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 621
- 552
Duh pole mwaya[emoji47]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkeo n mwana kamati ya ufundi huko ndondo cup usiwaze sana mkuuNimefungua hicho kifungashio,nimekuta kuna baadhi ya vitu nisivyovijua,vina rangi nyeusi na vinatoa harufu ambayo nashindwa kuielezea but kama nyama ilivunda hivi,what is iiiit!!???

Hicho kilichofungwa ndio roho yako hiyo!! Baba umekwishaaa.Wana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.
Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.
Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).
Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!
View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
hizi ni mbinu za wahuni kujifanya waganga kumbe wanataka PapuchiHii mambo ni kweli?
Hicho sio kiarabu ndugu, mpuuze tu wala usiwe na hofu yoyote.Naomba mnisaidie tafsiri tu,nijue hayo maandishi yana maana gani???
Ayaaaa,dah,watu kwa papuchi ni hatarhizi ni mbinu za wahuni kujifanya waganga kumbe wanataka Papuchi
halafu unakuta Jemba ya kichaga inajifanya mganga maarufu kutoka SumbawangaAyaaaa,dah,watu kwa papuchi ni hatar
Hapo me naona amejitahidi kuandika herufi tu za arabic ا ب ت ث ج ح خ ر .............ىWana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.
Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.
Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).
Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!
View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
Haha,mkuu yamekukuta au kuna ndugu yako alikumbwa na mkasa?halafu unakuta Jemba ya kichaga inajifanya mganga maarufu kutoka Sumbawanga
Mkuu kwanza nikupe pole mimi binafsi yalisha nikuta mambo kama hayo!! Ukiangalia vizuri hapo nyumbani kwako kuna vitu vingine vipo ambavyo hujavigundua badoWana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.