Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

Sasa mkuu wewe unahisi sisi wanaume wa JF tutakiuka/tunakiuka utaratibu upi?
kuna jamaa alinitongoza pm .nikamkubali unajua tulishindwana wapi? alisema yupo mkoani atakuja dar na atashukia kwangu akae wkend. nikamwambia kumbe kuonana kwenyewe ni hivo eeeh basi mororoo.sitaki hata kumsikia. yaani uje unigegede home kwangu? kweli?
 
Kama ni dawa zinazonuka hivyo huenda kweli wamemuingiziamo nyingine kwa kutumia proboscope[emoji2]
watoto wa mujini lazima dawa nyingine uingiziwe kunako Utamu wenyewe wanasema wanapaka kwenye Penis halafu unaingiziwa dawa.kekundu kekundu,wajinga ndiyo waliwao
 
kuna jamaa alinitongoza pm .nikamkubali unajua tulishindwana wapi? alisema yupo mkoani atakuja dar na atashukia kwangu akae wkend. nikamwambia kumbe kuonana kwenyewe ni hivo eeeh basi mororoo.sitaki hata kumsikia. yaani uje unigegede home kwangu? kweli?

[emoji23] [emoji23] [emoji23].......... siku hizi wadada kugegedwa kwao ni kawaida, hata mimi nakumbuka kipindi nilipokuwa naanza maisha kuna dada nilipendana nae nilikuwa naenda kumgegeda gheto kwake na nilikuwa nalala hapo kwake weekend nzima. Alikuwa anaishi na mdogo wake wa kiume, nikikumbuka ile hali(hali ya kwenda kumgegeda kwao huku anaishi na mdogo wake wa kiume) huwa najisikia guilty hadi leo![emoji22][emoji22][emoji22]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23].......... siku hizi wadada kugegedwa kwao ni kawaida, hata mimi nakumbuka kipindi nilipokuwa naanza maisha kuna dada nilipendana nae nilikuwa naenda kumgegeda gheto kwake na nilkuwa nalala hapo kwake weekend nzima. Alikuwa anaishi na mdogo wake wa kiume, nikikumbuka ile hali(hali ya kwenda kumgegeda kwao huku anaishi na mdogo wake wa kiume) huwa najisikia guilty hadi leo!
ulipopata hela ukamuacha sio
 
Wanawake muda mwingine sio watu wazuri kabisa.

Hapo ukute ushachanganyiwa ile damu yao ya kila mwezi kwenye mchuzi wa nyama mara kibao, ushakula nyama iliyoshinda papuchini kipindi akiwa on duty, ushalishwa nyama ya bundi na paka mara kibao.

Yote hayo ni ili umuoe tu.

Dada zetu Mungu anawaona!!!!
 
kuna jamaa alinitongoza pm .nikamkubali unajua tulishindwana wapi? alisema yupo mkoani atakuja dar na atashukia kwangu akae wkend. nikamwambia kumbe kuonana kwenyewe ni hivo eeeh basi mororoo.sitaki hata kumsikia. yaani uje unigegede home kwangu? kweli?
Bora ungenikubali mimi
 
Itakuwa uhuni tu huo. Usijae hofu fanya yaliyo ya haki na sioni kama utaata shida yoyote. Na sidhani kama huyo mpenzi anakupenda kwa staili hiyo.
 
Back
Top Bottom