Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo yanatia hasira sana,hasa unapokutana na jambo kama hili kwa mtu unayemwamini na kumpenda,inakatisha tamaa kwa kweli!!
Hizo herufi hazipatikani kwenye lugha ya kiarabu, huenda katapeliwa na huyo mganga akiamini kuwa ndio amekuroga.Wana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.
Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.
Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).
Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!
View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
MakubwaUlogi huo ... Wa kiarabu tena .. Hutabanduka kwake nakwambia hata akichapwa unaona hivi ... !!! Sina hakika lakini ndio kilichonijia akilini