Nimejaliwa, kwa kupima tu, sina mshindani

nimemiss samaki wa ukwee wa sato mwanza,and i wish i was a good cook jamani...am hopeless nikiolewa sijui itakuwaje mume wangu atakula mavyakula ya tui kibao lol
 
nimemiss samaki wa ukwee wa sato mwanza,and i wish i was a good cook jamani...am hopeless nikiolewa sijui itakuwaje mume wangu atakula mavyakula ya tui kibao lol

Mie hajui kesho jipya ni lipi, appetite kwa kwenda mbele.​
 

Attachments

  • image.jpg
    152.2 KB · Views: 174
  • image.jpg
    9.4 KB · Views: 939
Hizi habari gani za kuleteana njaa,mtuonee huruma wengine mlo mmoja per day!
 
Mbado sijaona, mimi ni ugali na maziwa mgando ndo nasema umejaliwa..!
 
aisee nami nitapata vyakula kama hivo sie wengine kwa mama ntilie na megengeni hatuwekewi kama hivo
Naona jamaa kafaidi mwambie asicheze mbali sisi mafisi tunaangalia mkono
 
Mwanamke kama huyu ukimpata Mshahara wote unaishia kwenye kula kama huna nyumba mziki muda wa Kodi Ufike...

Huo wa Kwanza ndio Mseto?
kuna mdosi alikuwa anakuja nao kwa Office kama Uharo vile nimeuona hapo nimehisi vibaya na hiyo rangi yake oi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…