Nimejaribu kumwacha mtoto wangu aokote kitu ili ale nijaribu kumzuia, kila akiokota anakuwa fasta zaidi yangu

Aisee hawa watoto ni pasua kichwa, huyu wa kwangu sasa yeye anakulia target ukiangalia pembeni unakuta tayari kashaanza kumung'unya[emoji23]
Hii ndio trick yao. Anakuangalia ukigeuka tu anafanya yake. Vina akili sana
 
Ni dalili njema kuwa anawez kuwa Mwakinyo wa baadae au Floyd Mayweather mpeleke katika kipaji chake cha kurusha mikono
 
Hii ndio trick yao. Anakuangalia ukigeuka tu anafanya yake. Vina akili sana
Akili na nguvu. Kuna jerking movements wanazifanya kama haukujiandaa anakuacha kwenye mataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…