Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

Mbona ndogo hiyo kama eneo la kuezeka ni 100 sqm bado itakuwa ni 1.85mil
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu naona mipango imejaribu kuyumba ika jambo ka kuweza kufanya ni kujipanga upya na kumalizia sehem ikiyobaki.


Jambi ka kuweza kulitazamia ni umakini katika usimamizi wa ujenzi mana hawa mafundi wa kileo kitendo cha kuyumba kidogo kusimamia ni umewapa nafasi ya kukupiga


Kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwenyewe nimechoka mbwembwe nyiingi kupauwa kazidi sana aandae milioni nne na nusu mpaka tano inategemea paa lake limekaa vipi kulingana na mchoro kutoana uzazi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeweka bati la kawaida kabisa sitaki mambo mengi.Mungu akijaalia nitabadili ila for now napambana na hali yangu.matofali nimefyatua mwenyewe mfuko mmoja unatoka Matofali block 35.kench za kawaida nimenunua buguruni.nilitaka nihamie kwangu mengine taratibu namalizia nikiwa ndani kama gypsum niliweka sebulen tu na chumbani kwangu tena baada ya kuwa nimeshahamia ndani. Sioni kwa nini watu wanabisha na kupandisha bei wakati kila mtu ana namna ya kuishi maisha yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa.nimejenga sebule na open kitchen.kisha vyumba vitatu vya kulala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kama hawa huwa tunawapuuza mkuu, vijana wana maneno ya shombo kumbe wanalala sebuleni kama baiskel, hata chumba moja hawajawahi kujenga msingi wake...nimekuelwa sana hongera kwa mawazo mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safii! Nimependa ushuhuda wako kuna jamaa comment za Juu huko anadai kapaua kwa million 15
Ila uzuri wa jf bana watu kujimwambafy, unaweza kuta kamanda amepanga chumba cha giza
 
Safii! Nimependa ushuhuda wako kuna jamaa comment za Juu huko anadai kapaua kwa million 15
Ila uzuri wa jf bana watu kujimwambafy, unaweza kuta kamanda amepanga chumba cha giza

Mkuu...kila nyumb ina ukubwa wake zile mbao za kupaulia acha kbs fundi akikupigia hizo hesabu zake!...
 
Kwako baba, kwako. Hakuna cha ngo ngo za baba/mama mwenye nyumba, umejiokoa, umejilipuwa, hongera mno...
 


Ata mimi nimeshangaa kwa kwelii mil hamsini hajapiga ata plaster wala tiles..sijui katumia material gani kujengea
Labda quatz badala ya tofali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…