Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

Hata akisema bati 200 na mbao 400 misumari gunia 3 haifiki hiyo 15M .... Jamaa muongo ana mahesabu kama ya CHAKUBANGA
 
Mbona unatukatisha tamaa wenye vipato vidogo mkuu[emoji852][emoji852][emoji852]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaha eti tayari..nacheka kifwala!.changa[emoji91] ni nyingi sana aisee unaenda mbele hatua kumi unaridi 3[emoji58].muombe@Bushmamy namba zangu[emoji28][emoji28]!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nishaelewaaa aiseee sema na ww kausha sasa tusimwage mchele kwny kuku wengi[emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli aisee narudi nyuma Sana'a[emoji28][emoji28]
 
Hatubishani mkuu tunawekana sawa,kwa post mnazotuma hapa za watu mnaopigwa huko mitaani na mafundi na mainjinia akizisoma mtu mwenye nia ya kujenga ataingia woga kwamba akiwa na mil 20/30 hawezi kuanza ujenzi kumbe ni uwongo.

Tusiwatishe watu kwa makosa tunayofanya wenyewe.


Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nishaelewaaa aiseee sema na ww kausha sasa tusimwage mchele kwny kuku wengi[emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli aisee narudi nyuma Sana'a[emoji28][emoji28]


Aaha unaumwa ww dawa yako nishagunduaga ni bushmamy tu thts y nikamuita!😏
 
Aaha unaumwa ww dawa yako nishagunduaga ni bushmamy tu thts y nikamuita![emoji57]
[emoji16][emoji16][emoji16] heheheh lait ungejua[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza simuogopi wala nn hata kidogoo[emoji57][emoji57] we muite tu
 
Unajisifu kutapeliwa? We hamnazo kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Room mbili ni 6M inatosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu chukuwa likes kutoka kwangu umenifurahisha sana ...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba hiyo kupaua kwa m 15 kama kuna ukakasi sehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujenzi ni eneo mkuu, sasa hujasema umejengea mkoa gani, ila kwa uzoefu wangu hapo andaa milioni nyingine 7 hivi utamaliza kila kitu

NB: unaweza usiimalize hiyo Ml. 7 au ikaongezeka kidogo sana


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
Mil 7 atamaliza kila kitu? Unajielewa kweli wewe? Hivi unajua gharama ya finishing ni mara 2 hadi 3 ya gharama ya boma? Au u anazungumzia kumaliza kila kitu kwa namna gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitaki kusema uongo wala kubishana na mtu.Kiwanja nilipewa (sijanunua)nikatumia Milion tatu kujenga msingi mpaka bati nyumba ya vyumba vitatu na sebule.
Nimetumia milioni mbili kumalizia finishing mpaka tiles.
Nimetumia milion moja kujenga choo nje na septic tank.nimeingia kibishi nikaweka umeme after two years
NB:Matofali nimefyatua mwenyewe,
*fundi nimempata mtaani nikampa ramani tu.Nilimlipa Milion moja na nusu vyote mpaka mtu wa kupaua alimleta mwenyewe.
*Septic nimechimbiwa kwa elf 70 na kujengea nimechajiwa laki moja jumla laki na 70.Iliobaki ni kuunganisha choo ndani na cha nje coz septic tank ni moja.
Kwa hiyo,milion 3 msingi +milion 2 finishing + milion moja septic na choo nje+hela ya fundi milion moja na nusu+ rough extra milion moja( usafiri na matumizi madogo madogo pale site) nikijumlisha na gharama za wiring mpaka kuingiza umeme na kisima nje nimetumia roughly milion kumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejenga ghorofa? Mbona pesa nyingi sana kwa roofing chaa!! Au huwa unatuma kwa mpesa watu wanakununulia vifaa na kujenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..........Mkuu umemaanisha au?hata hivyo sikubishii inawezekana ulipo wewe gharama zikawa kubwa zaidi but kwa ujenzi wa nyumba standard Dar gharama zipo juu kiasi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Rahisi kwa sababu ya upatikanaji wa material.... unaweza kununua kiwandani moja kwa moja. Inakua nafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…