Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
We nae hayakuhusu hebu kaa kimya huko[emoji57]Kausha nini wewe takotu, mbuzi kunuka wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nae hayakuhusu hebu kaa kimya huko[emoji57]Kausha nini wewe takotu, mbuzi kunuka wewe
Anhaa kweli itakua nilichanganya na sikuelewa vizuri...hang over hizi zinasumbua...😁😁😁Nilisema huyu alojenga kwa 3m huenda ni zile styles za zaman...korido pemben vyumba! Sipend korido....nikasema kuna desgn nzuri km hyo ya pembe za shiling 5!ndan inakuwa hvyo sio nje!nje inakuwa sq tu
Kutojenga ni udunya, vijana wengi wanapora simu na kujifanya wanapenda kwenda kuishia moi kwa kuzunguka na bodaboda mjini.Ninyi vijana wa mjini kujifanya kujua kwingi ndio maana kila siku mnamaliza mtaa kwenye nyumba za kupanga,miezi sita tabata,inayofuata sinza,kimara hamjengi.
Wakati mwingine mkija mikoani mnaona aibu kwakuwakuta vijana wa umri chini yenu wapo kwenye nyumba zao na maisha yanasonga.
Hii ni kwasababu ya kujifanya wajuaji wakati kiuhalisia haimna isue kazi kuzurula na vibegi mjini hamna dira yoyote.
Ujenzi kama utausimamia mwenyewe na ukajua namna sahihi yakukwepa gharama utatumia pesa yakawaida.
Sio mbaya ninyi endeleeni kugombania na kujisifia kupanga nyumba za wenzenu zenye tiles nzuri,aluminium,uzio na ma geti mpaka mstuke mvi kichwani.
Anhaa kweli itakua nilichanganya na sikuelewa vizuri...hang over hizi zinasumbua...😁😁😁
Duh kama unaanza hapa tu hivi huko mbeleni itakuajeHapo ulipofikia ndì ujenzi unaanza.
Ni kweli
Kutojenga ni udunya, vijana wengi wanapora simu na kujifanya wanapenda kwenda kuishia moi kwa kuzunguka na bodaboda mjini.
Wengi wanadanganyana sana, na woga, unajichumbia dar es, wkt fursa kibao mikoani, nenda mbeya, fursa kibao, nenda mtwara, dar yenyewe ingia kariakoo chukua mzigo nenda chanika unauza. Wengi wanashoboka na videmu na kupigia ukimwi viuno. Nineeleezea hapa kajihela nilikokaweka kakafika 13M roughly 1M ikikuwa na nauli nk.
Nje ya mji kiwanja sh M2 kama inazidi ni 2.5 unakuta kijana apora wake na kula mali za watu,mwishowe anang'oka na laana, baadae asijue mchawi ni yeye mwenyewe
Haya mambo bila kula kichambo hujengi, na utawatesa watoto wako kwenyr Nyumba za watu. Ukikutana na mwenye nyumba mnoko huyo ndio poa, maana utajenga tu. Ukikutana na mwenye huruma,ujue imekula kwako.Hahhaa mbona vichambo jamani!tutanuna ujue!
Ndo unajiuliza humu watu wanajenga nyumba au vitu vinavyofanana na nyumba,mtu anashangaa nyumba ya vyumba 3 kutumia milioni 50 na bado haijakamilika! hizo rate mbona ni za chini sana na hapo umehenya na hawa mafundi wa kitaa. Hapo umezunguka maduka kupata penye unafuu wa bei ya material na umesimamia mguu kwa mguu.
Maana nachoshangaa maana bati za migongo mipana or maxcover lazima huezekaji huende kwny 15m ,na hukigusa versatile,romanitile lazima ufike 30m hapo kuezeka tu maana haina hiyo ya huezekaji inahitaji mbao nyingi labda tuwaulize
Kwa vyovyote hizi reply zinahusu post zangu nilizo-post kwenye huu uzi,hata utumie material gani kutoka Tanzania hakuna nyumba ya chini ya room tatu even nne inajengwa boma tu bila kuezekwa kwa million 35 msiwatishe watu na kuwakatisha tamaa kwa vitu vyenu vya kubuni.Mkuu usibishane naye huyu huwezi jua anajenga nyumba ya kiwango gani?but kwa uzoefu nyumba hizi hizi za vyumba vitatu kimoja master unaweza ukaijenga hata 300m inategemea ramani yako ya nyumba na aina ya mafundi unatumia,but mm nimejenga nyumba ya hivyo kwa zaidi ya 200m
Haya mambo bila kula kichambo hujengi, na utawatesa watoto wako kwenyr Nyumba za watu. Ukikutana na mwenye nyumba mnoko huyo ndio poa, maana utajenga tu. Ukikutana na mwenye huruma,ujue imekula kwako.
Umesoma nilichoandika hapo?hata sija-edit soma ulikoni-quote nimeandika 170K mlango mimi?Duh mlango mninga 170! All in all hongera
Ukishaamua lako usitegemee ushauri kutoka kwa watu. Kama hapo palipofikia hiyo nyumba inaweza kukalika nenda kakae vingine utamalizia ukiwa humo.
.oh!Umesoma nilichoandika hapo?hata sija-edit soma ulikoni-quote nimeandika 170K mlango mimi?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ukiamua kujenga usiweke exactly amount unayotaka ifikie kikomo unaweza nyenyua nyumba ukakata tamaa ukauza ujamaliza kujenga na hasa uwe unataka nyumba flan ya standardMkuu hebu tuambie, ujue kwa kauli hiyo nimeona kama sitaweza kujenga maisha yangu yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajenga nyumba unaiita " kibanda" au sijaelewa?
Anyways.
Kila mtu ashinde mechi zake bwana.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ukiamua kujenga usiweke exactly amount unayotaka ifikie kikomo unaweza nyenyua nyumba ukakata tamaa ukauza ujamaliza kujenga na hasa uwe unataka nyumba flan ya standard
Ushauri mzuriUkishaamua lako usitegemee ushauri kutoka kwa watu. Kama hapo palipofikia hiyo nyumba inaweza kukalika nenda kakae vingine utamalizia ukiwa humo.
Mbona mnaowasahihisha wenzenu na nyinyi mnakosea.Na grills anaziita drill!! Muache aendelee kujenga,tutakuha kupanga.
Sent using Jamii Forums mobile app