Ben Mugashe
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 999
- 617
Wasiwasi wangu ni kuwa Haujaandika ni Tsh au ni fedha za nchi gani maana zikiwa za Kenya ni sawa na Tsh 85,000,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye nyumba akiweka mnyambulisho na mlinganyo wa gharama jinsi alivyo jenga hiyo nyumba kwa kiwango cha fedha alicho sema na mimi najenga yangu kesho asubuhi na mapema.

Naona dstv hapo juu, wewe ndo kati ya wale walimuelewa JK kuwa maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana..!wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe ki la kitu ni maamuzi tu.
... Katika mkutano huo Dk. Slaa alitoa kitabu cha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2005, iliyoandaliwa na mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa, inayoonyesha kuwa halmashauri ya wilaya hiyo, ilitumia sh milioni 700 kujenga matundu manne ya choo katika shule za msingi nne.

wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe ki la kitu ni maamuzi tu.
kaka Rufiji huwezi kujenga nyumba kama hii kwa bei hii hata kidogo..kule Nyaminywili au Mwasemi mpaka Mibuyu Saba..huwezi kabisaaa..take my wordsYes nakubaliana na wewe,maana bati zenyewe naona umechukua pale veterinary-tazara,hali kadhalika madirisha na mirango,pia tofadhi ni za tope,alafu inaonyesha ni rufiji sio Dar.
By the way hongera.
wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe ki la kitu ni maamuzi tu.
View attachment 80411
iliyojengwa kwa 4,500,000/-
View attachment 80412imeshakula 7,500,000 na bado naona njia ni ndefu, ni mwanza
Hii nyumba most likely ina ukubwa wa square metre zisizopungua 50. Kwa shilingi 4.5m maana yake ni kwamba gharama za ujenzi ni shilingi 90,000 kwa kila square metre. Hii ngumu sana kuiamini labda kama walivyosema wengine hapo juu, kazi nyingi zinazohusiana na ujenzi huu utakuwa ulizifanya mwenyewe na vifaa vingi ulivyotumia katika kujenga ulikuwa unavipata "bure" au ulivilipia kwa namna nyingine ('barter trade' basis).wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe ki la kitu ni maamuzi tu.
Tofauti ni kubwa sana kati ya kwako na ya kwake. Mimi naona jamaa katoa changamoto pamoja na yule wa Bunju ingawa 600,000/= sijui. Natafuta ramani kama nyumba ya kwako nielekeze kwa mchoraji
Tofauti ni kubwa sana kati ya kwako na ya kwake. Mimi naona jamaa katoa changamoto pamoja na yule wa Bunju ingawa 600,000/= sijui. Natafuta ramani kama nyumba ya kwako nielekeze kwa mchoraji
Mkuu embu nipe info za hiyo yako urefu kwa upana I mean square meter ngapi
Mkuu hongera, ingawa nahisi mafundi au vifaa wamekuibia kidogo.
Mimi nyumba yangu hii hapa chini nimeijenga kwa gharama ya Tsh. 600,000 (laki sita). Nimeshahamia kwangu na kuondokana na adha za wenye nyumba na pembeni nina kibustani changu cha mboga mboga maisha yanaendelea.
Nyumba hii nimejenga Bunju kwenye kiwanja nilichopewa na serikali baada ya kuhamishwa kwa nguvu Jangwani wakati wa mafuriko ya December mwaka juzi.
View attachment 80410
mkuu tatizo kunawatu wajinga na hawatakikujua ujinga wao, hata mbeya tofari za kuchoma ni tsh 150 - 250wapi huko mkuu?
Maana morogoro wanachoma sana tofari na bei ya jumla ni kuanzia 120-180.
Huko kwenye tsh50 sijui ni wapi!
wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe ki la kitu ni maamuzi tu.[/QUOTE
Yaani kweli na wewe unajisifu? nyumba gani hata miti au bustani hujapanda? utadhani ya enzi zileeeeeee
MMMhh..we ulikosa hata point ya kukandia!!!
MMMhh..we ulikosa hata point ya kukandia!!!
ni changamoto tu, apande miti na majani atengeneze bustani