Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyumba yako mwenyewe lakini unashindwa kuisogelea na kupiga picha kwa ukaribu, badala yake unapiga picha ukiwa kwenye gari mita kama 50 toka nyumba ilipo? waliosoma photograph watagundua kitu cha tofauti
Ha ha ha ha!Kama 4.5m umemaliza nyumba hii ungejenga kwa ngapi ?nisaidie nateseka
mie nipo kijijini na wazazi wangu ni matajiri kuliko mimi, hata hivo sioni dharau unayoiongelea ni ipi/Abdulhalim dharau siyo nzuri,
nyie ndo mnaotamba mjini kumbe wazazi wenu hawana hata pa kujibanza
kwanini usimpe stahili yake aliyejenga jamani.
wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe kila kitu ni maamuzi tu.