winner forever
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,094
- 269
Mwala J,wapi mchanganuo wa hii kitu? otherwise naona ni porojo tu kama za yule mama.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wajinga ndio waliwao kama uliuziwa tofali la matope kwa bei hyo basi hauna tofauti na mbululamkuu tatizo kunawatu wajinga na hawatakikujua ujinga wao, hata mbeya tofari za kuchoma ni tsh 150 - 250
wajinga ndio waliwao kama uliuziwa tofali la matope kwa bei hyo basi hauna tofauti na mbulula
masaningala mkuunyumba ya 4.5m!!! Walahi wewe ni miongoni mwa matajiri. Asilimia 80% ya watz hizo 4.5m ni ndoto ya mchana kuzipata. Nyumba standard za tz ni za tembe na nyasi kwa walio wengi. Wanapenda sana wawe na nyumba kama hiyo uliyojenga lakini umaskini umetudidimiza. Hata hivyo hongera.
Kimfaacho mtu ni chake!Hii ni nyumba ya mashine ya kusaga au kuishi watu?
Hii ni nyumba ya mashine ya kusaga au kuishi watu?
wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe kila kitu ni maamuzi tu.
View attachment 80541
Siamini.
Hizo ni gharama za Fundi unless kama Fundi ni wewe mwenyewe.
wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe kila kitu ni maamuzi tu.
View attachment 80541
ni ngumu kuamini lakini ndio hivyo tena,amesema mwenye nyumba.
Sasa jumla ya haya makadirio ni 5775000/= hapo bado frem za madirisha na milango,milango yenyewe na nondo,sakafu chini na uchimbaji wa choo na ufundi wake,hiyo kenop ya nje haijapigiwa mahesabu kabisaa
- nyumba hiyo inaweza kuwa na jumla ya bati 90 na tufanye kila bati ni 15000/=1350000/
- mbao makadirio =525000/=
- fundi wa kupiga bati laki 6
- tofari ,milioni 1.5
- ufundi wa nyumba laki 6
- cement,kokoto na mchanga-1640000/=
hiyo nyumba ni zaidi ya m10
kaka
Asante sana. Umefunga mjadala. Alete porojo nyingine. Sio ya hilo banda ambalo yeye anaita NYUMBA.