Nimejenga nyumba hii kwa 4,500,000/=

Nimejenga nyumba hii kwa 4,500,000/=

mkuu tatizo kunawatu wajinga na hawatakikujua ujinga wao, hata mbeya tofari za kuchoma ni tsh 150 - 250
wajinga ndio waliwao kama uliuziwa tofali la matope kwa bei hyo basi hauna tofauti na mbulula
 
hiyo labda ni nyumba ya digital ya analogy fedha hiyo haitoshi
 
Mpeni hongera zake bwana, kama mnaona siyo nyumba hiyo ni kwa viwango vyenu......

Ila mkuu tusaidie kutueleza ni maeneo gani, manake ya miji inakuwa ngumu kuweka vizuri haya mahesabu.
 
nyumba ya 4.5m!!! Walahi wewe ni miongoni mwa matajiri. Asilimia 80% ya watz hizo 4.5m ni ndoto ya mchana kuzipata. Nyumba standard za tz ni za tembe na nyasi kwa walio wengi. Wanapenda sana wawe na nyumba kama hiyo uliyojenga lakini umaskini umetudidimiza. Hata hivyo hongera.
masaningala mkuu
mapinga nini mnajuaje hizo ni doller/pound/rwf/ama r.....
Muulizen kwanza izuri anaweza wasaidia badala ya kumhaadaa huyu jamaa anaonekana amepigasana biashara zetu za fyuu fyuu fyuu so muulizen kwanza ni hela ya wai anayoengelea
 
attachment.php
WAKUU HII NI NYUMBA YA MATOFALI YA KUCHOMA
KWA MNAOISHI TANGA NA KILIMANJARO 100% IMETUMIA PESA ZA KITANZANIA ALIZOSEMA TENA KWA NIONAVYO HAPO MAFUNDI WAMEMMEGA NYINGI TU KWA TANGA HIYO HELA UNAWEKA NA DSTV SEBULEN,CHUMBA CHAKE UNAWEKA ZUKU,VILE 2 VILIVYOBAKI UNAJAZIA HU HANG AMA WAZEE WA PALE PEMBEN YA TBC...
NAFIKIRI AMESHINDWA TU KUELEZEA ALIPOJENGA NI WAPI ILA BINAFSI NIMEKUWA NIKIANGALIA IKOJE NA KWA MATOFALI YA KUCHOMA CEMENT NI UDONGO KWA WALE MLIOJAZANA NA CEMENT ZA SH NGAPI KATUMIA...NDUGU YANGU KILA A KHERI UNGEKUWA MSHABIKI WA YANGA NIKUPA


HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII NDIIIIIIIIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO YAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANGAAAAAAAAAAAAAAAA ALIKUWEPO MH'D HUSSEIN,,MZEE WA PEMBENI LUNYAMILA ,SAIDI MWAMBNA KIZOTA LEO TUNA MWALAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.JJJJJJ
HAMIA YANGA BANA UJENGE NYUMBA UNAYOITAJI KWA PESA ULIONAYO NASEMA

HIIIII NDIO OOOOOOOOOOOOOOOO YANGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Kiongozi hongera sana,duh umepiga hatua kubwa sana,hebu tuletee mchakato wa badjeti yako na jinsi ulivyospend katika kila kitu ili na sisi wengine tujifunze
 
wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe kila kitu ni maamuzi tu.

View attachment 80541

acha uongo mkuu, usidhan hatujajenga...hebu tuambie matofali umenunua bei gani?cement je?nondo za hizo beams hapo, mbao je bati je?sio kweli hata kidogo laba utuambie haya ni mambo ya chit chat...
tunyambulishie gharama zako halafu ndo tukuamini...
 
ni ngumu kuamini lakini ndio hivyo tena,amesema mwenye nyumba.
  1. nyumba hiyo inaweza kuwa na jumla ya bati 90 na tufanye kila bati ni 15000/=1350000/
  2. mbao makadirio =525000/=
  3. fundi wa kupiga bati laki 6
  4. tofari ,milioni 1.5
  5. ufundi wa nyumba laki 6
  6. cement,kokoto na mchanga-1640000/=
Sasa jumla ya haya makadirio ni 5775000/= hapo bado frem za madirisha na milango,milango yenyewe na nondo,sakafu chini na uchimbaji wa choo na ufundi wake,hiyo kenop ya nje haijapigiwa mahesabu kabisaa
hiyo nyumba ni zaidi ya m10
 
ni ngumu kuamini lakini ndio hivyo tena,amesema mwenye nyumba.
  1. nyumba hiyo inaweza kuwa na jumla ya bati 90 na tufanye kila bati ni 15000/=1350000/
  2. mbao makadirio =525000/=
  3. fundi wa kupiga bati laki 6
  4. tofari ,milioni 1.5
  5. ufundi wa nyumba laki 6
  6. cement,kokoto na mchanga-1640000/=
Sasa jumla ya haya makadirio ni 5775000/= hapo bado frem za madirisha na milango,milango yenyewe na nondo,sakafu chini na uchimbaji wa choo na ufundi wake,hiyo kenop ya nje haijapigiwa mahesabu kabisaa
hiyo nyumba ni zaidi ya m10

Asante sana. Umefunga mjadala. Alete porojo nyingine. Sio ya hilo banda ambalo yeye anaita NYUMBA.
 

Asante sana. Umefunga mjadala. Alete porojo nyingine. Sio ya hilo banda ambalo yeye anaita NYUMBA.
kaka
kile kivaranda tu kitakuwa kimelamba pesa nyingi sana,maana ni cha zege,sasa pale kitakuwa kimehitaji nondo,cement,kokoto na zile beam zake,hiyo pesa aliyotaja haiwezi fanya lolote lile
 
Back
Top Bottom