We shetani kweli wewe. Kwa sauti ya mzee mpiliNimekula matofali yamenichoma sana.
Ndio maana wabongo sura zimekakamaa sanaa na miili imedumaa
🤮🤮🤮
KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI
Hapo ukisema tu ulale lazima utaota unakabwaNimekula matofali yamenichoma sana.
Ndio maana wabongo sura zimekakamaa sanaa na miili imedumaa
🤮🤮🤮
KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI
Safisana unaelekea kukamilisha ujenzi wa nyumba nenda ukale mavi yapanya tayari misumari umepata bado mabati na kench tuNimekula matofali yamenichoma
Kumbe mamasamia anakula ugali kwa kuchovya uji dah anaula mwingi wengine tunashindia bunani yeye ananenepaWasukuma wanakula ugali kwa kuchovya kwenye uji kama mboga ila wako poa na miili yao mikubwa.
Ila kimekukuza nduguUgali sio chakula
Hauli ugali unakula nn?...kinachoangaliwa ni contents....usijigamba hauli ugali unakula wali wakati content ni ileile....😂😂Nimekula matofali yamenichoma sana.
Ndio maana wabongo sura zimekakamaa sanaa na miili imedumaa
🤮🤮🤮
KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI