Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,168
- 4,773
Wasukuma wa wapi hao?Wasukuma wanakula ugali kwa kuchovya kwenye uji kama mboga ila wako poa na miili yao mikubwa.
DahhhKATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI
Hata kama....sio msosi uleIla kimekukuza ndugu
Chakula Bora ni kipi ndugu yangu?Hata kama....sio msosi ule
Mihogo, viazi, magimbi, maboga ...nkChakula Bora ni kipi ndugu yangu?
UsukumaniWasukuma wa wapi hao?
Mwandiko wakisukuma huu🫠🫠Nimekula matofali yamenichoma sana.
Ndio maana wabongo sura zimekakamaa sanaa na miili imedumaa
🤮🤮🤮
KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI
😂😂Nimekula matofali yamenichoma sana.
Ndio maana wabongo sura zimekakamaa sanaa na miili imedumaa
🤮🤮🤮
KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI
OkMihogo, viazi, magimbi, maboga ...nk