Nimejiasahau nimekula ugali, tumbo limekuwa chungu sanaa. Kweli njaa ni kipofu

Kuna kitu kinaitwa "USIGA" huu ni ugali uliolala kwahiyo hufanywa kama makate wakati wa kunywa Chai asubuhi.
Niliula sana huu.

Sasa kijana naona kabisa unaleta filamu kwenye mambo serious.

Hii itakugharimu kiasi kikubwa sababu chakula hicho baba yako alikuwa anakula na mama yako wakati unatafutwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…