Nimejichanganya nimeunga kifurushi 110,0000 badala ya cha elfu 10 kile cha DSTV poa!

aisee
Huu mwezi nimeanza na kiranga

kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha



Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje.
DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA MNIULIZE VIZURI
😂😂Ongea nao wambie nilitaka niunge zaidi ya mwezi mmoja nimekosea watakufungulia miezi 11 🤣 kweli lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…