Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
Sio poa kwakweliingekua
kwene laini isingetokea ni app ya nmb
yaan ni ku click tu
Sio poa kwakweliingekua
kwene laini isingetokea ni app ya nmb
yaan ni ku click tu
😂😂😂 Pole sana brother, bonge la msala aise..aisee
Huu mwezi nimeanza na kiranga
Kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha
Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje.
DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA MNIULIZE VIZURI
Aisee😂😂😂 Pole sana brother, bonge la msala aise..
Mbona unepewa option!aisee
Huu mwezi nimeanza na kiranga
Kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha
Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje.
DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA MNIULIZE VIZURI
mbona kwahiyo sms uliyoweka hapo ni wapi wameonyesha umelipa kwenda DSTV..kwa sms inavyosomeka yanaweza kuwa ni malipo ya kitu chochote kile au unaweza kuchukua hii sms toka popote kule kisha ukainzishia mada hapa JF kama hivi kwani si kila mada zinazoletwa humu zina uhalisia zingine kamba tu
Hicho kifurushi cha 1aisee
Huu mwezi nimeanza na kiranga
Kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha
Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje.
DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA MNIULIZE VIZURI
Hicho kifurushi cha 110,0000/= cha nchi gani? Tanzania hatujafikia hesabu hizo, kama wamethibitisha kiasi hicho nenda kachukue hela yako bila kubishana nao.Hapo mkuu dili sana na chaneli za mapishi na chaneli za magari magari
Panda tukupandishe mkuu. asante sana kwa kuanza mwezi wa nne kwa shangweaisee
Huu mwezi nimeanza na kiranga
Kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha
Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje.
DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA MNIULIZE VIZURI
Imeisha hiyoaisee
Huu mwezi nimeanza na kiranga
Kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha
Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje.
DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA MNIULIZE VIZURI
😂😂Imeisha hiyo
au cyoPanda tukupandishe mkuu. asante sana kwa kuanza mwezi wa nne kwa shangwe
aiseeJF imejaa vilaza, mkiambiwa mkasome Veta mnakuwa wabishi, wengi waliojibu ni vilaza hawajui hesabu.
Hicho kifurushi cha 1
Hicho kifurushi cha 110,0000/= cha nchi gani? Tanzania hatujafikia hesabu hizo, kama wamethibitisha kiasi hicho nenda kachukue hela yako bila kubishana nao.
Ita utavotaka!Wewe ni hasara tupu inaelekea mama yako alikuambia uandike matusi kwenye mtihani, kama haujui tofauti ya 110,0000/= na 110,000/= nikuiteje!
Chukua king'amuzi wapelekee wa vibanda umiza wakupe hata 80,000,wao wakupe cha kwao ulipie 10,000
IdeaChukua king'amuzi wapelekee wa vibanda umiza wakupe hata 80,000,wao wakupe cha kwao ulipie 10,000
🤣🤣Umepata na muda wa kuchekaacha ufala we jamaa
nimecheka had machozi