Nimejichanganya nimeunga kifurushi 110,0000 badala ya cha elfu 10 kile cha DSTV poa!

Nimejichanganya nimeunga kifurushi 110,0000 badala ya cha elfu 10 kile cha DSTV poa!

Mnapenda kulia watu wa JF
Screenshot_20250401-231059~3.jpg
 
Ita utavotaka!
Unaonekana huelewi neno “writting ERROR “kwene maisha yako

Na mi sikulaumu labda ndio ulivokuzwa
Hakuna kosa la namna hiyo kwenye kuandika 1 mpaka 1,000,000, makosa hayo yapo unapoandika kuhusu tukio mfano badala ya korongo unaandika kongoro, hiyo inakubalika.
 
Hakuna kosa la namna hiyo kwenye kuandika 1 mpaka 1,000,000, makosa hayo yapo unapoandika kuhusu tukio mfano badala ya korongo unaandika kongoro, hiyo inakubalika.
Bro ebu waone madakitari wa magonjwa wa akili
Kuna kitu kinaitwa ACCEPTANCE we una shida eneo hilo
 
hata
Hivi kuna majitu bado yananunua vifurushi vya Tv na kuangalia Tv ? , Mbona mnaishi zama za mawe aisee ?
hata ukiangalia online, utanunua bundle ya hela nyingi zaidi ya hicho kifurushi cha 11,000 kwa mwezi
Kupanga ni kuchagua
 
Back
Top Bottom