Red shadow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,411
- 1,991
- Thread starter
- #21
yaanNa huu mwezi wa April umekaa kama Januari vile.
yaanNa huu mwezi wa April umekaa kama Januari vile.
Nashangaa sanaHawa jamaa sijui wanapata wapi hela ya kuchezea😅😅
Sasa haya malipo mbona ya jana? Na wewe unasema umeuanza mwezi vibaya.aisee
Huu mwezi nimeanza na kiranga
kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha
Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje.
DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA MNIULIZE VIZURI
angalia juunakazia hapa👿
utajua ww na wajinga wenzioSikuu ya wajinga leo mwisho ni sa ngp vile
Hapo hata ukipiga simu customer care hautasaidikanimeweka
basi nimefunga mwezi na kuanza mwezi vibaya,,,,,,Sasa haya malipo mbona ya jana? Na wewe unasema umeuanza mwezi vibaya.
🤝🤝🤝basi nimefunga mwezi na kuanza mwezi vibaya,,,,,,
ndio si nimeuanza na maumivu
Pole Sana hakirudi hichoaisee
Huu mwezi nimeanza na kiranga
kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha
Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje.
DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA MNIULIZE VIZURI
Pole,endelea kuangalia mipira na mamivu kwa hasira ili u enjoy value for money...aisee
Huu mwezi nimeanza na kiranga
kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha
Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje.
DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA MNIULIZE VIZURI
mpira wa ndani man haunogiPole,endelea kuangalia mipira na mamuvi kwa hasira ili u enjoy value for money...
nimeweka hapo juu na muamalaHii chai inafaa kusindikizwa na kiporo cha pilau ya Eid
Duh pole mkuu usipende kuweka pesa ndefu kweny laininimeweka hapo juu na muamala
kwene laini isingetokea ni app ya nmbDuh pole mkuu usipende kuweka pesa ndefu kweny laini
😂😂😂Utaangalia mapishi na kujitia njaa tu. Bora uwe unalala.