Nimejichanganya nimeunga kifurushi 110,0000 badala ya cha elfu 10 kile cha DSTV poa!

 
aisee
Huu mwezi nimeanza na kiranga

Kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha

Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje.

DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA MNIULIZE VIZURI

Hicho kifurushi cha 1
Hapo mkuu dili sana na chaneli za mapishi na chaneli za magari magari
Hicho kifurushi cha 110,0000/= cha nchi gani? Tanzania hatujafikia hesabu hizo, kama wamethibitisha kiasi hicho nenda kachukue hela yako bila kubishana nao.
 
Hicho kifurushi cha 1

Hicho kifurushi cha 110,0000/= cha nchi gani? Tanzania hatujafikia hesabu hizo, kama wamethibitisha kiasi hicho nenda kachukue hela yako bila kubishana nao.
 

Attachments

  • 39246522-3703-495F-A924-64245F413890.jpeg
    122.2 KB · Views: 25
Wewe ni hasara tupu inaelekea mama yako alikuambia uandike matusi kwenye mtihani, kama haujui tofauti ya 110,0000/= na 110,000/= nikuiteje!
 
Wewe ni hasara tupu inaelekea mama yako alikuambia uandike matusi kwenye mtihani, kama haujui tofauti ya 110,0000/= na 110,000/= nikuiteje!
Ita utavotaka!
Unaonekana huelewi neno “writting ERROR “kwene maisha yako

Na mi sikulaumu labda ndio ulivokuzwa
 
omba likizo kazini ili ukitumie kifurushi vizuri
 
Hiyo namba inasomwaje? Wenye account inayosoma kama namba za simu ndio wanaoumia. Mimi ninaambiwa tu chap chap "salio halitoshi "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…