Nimejifunza kitu kutoka kwa Zelensky

Armed vehicles na tanks nyingi viliachwa wakaondoka wao kama wao. Waligundua kuwa Ukraine ana silaha za kuangamiza ule msafara, sana sana drones na anti tank missiles kama javeline, wakaona ili kutoka salama ni kutoka kwa migui tu.
... duh! Wakapiga mbio toka Kyiv hadi Donbass 808km! Maiti zitakuwa zilitapakaa njiani.
 
bila NATO Kyiv ingekuwa mikononi mwa jeshi la Putin ila Putin nae siku nyingine ajipange vizuri kabla ya kuanzisha vita maana anatukatisha sana tamaa team Kiba

Bila ujasiri wa Zelenskyy na wapiganaji wake wiki mbili tu Ukraine yote ingekuwa chini ya Putin mkabala na NATO uso kwa uso. Rejea Afghanistan. Silaha pekee si lolote wala chochote. Hata Warusi wameikimbia Kyiv mithili ya panya road waliovurumshwa na ffu. Vifaru, mizinga, ndege na helikopta hazikufua dafu.
 
bila NATO Kyiv ingekuwa mikononi mwa jeshi la Putin ila Putin nae siku nyingine ajipange vizuri kabla ya kuanzisha vita maana anatukatisha sana tamaa team Kiba
Siku nyingine siku gani wakati wameshamjua hana lolote ni mbwembwe tu kama Kiduku.

Mwezi huu Finland na Sweden watakapopeleka maombi ya kujiunga na Nato tuone atafanya nini. Hii Russia haina lolote ni swagger tu za kijinga za huyo kichaa wao akishalewa Vodka.
 
Zelensky ni mwana wa israel yule au hujui?
Jamaa ni jasiri sana, ameishinda hofu kabisa.
Amemwaibisha mtesi wao aliyekusudia kuwamaliza ndani ya siku 3.

Huyu ninamfananisha na Modekai alivyomshinda Hamani mtu mwenye nguvu.

Putin haamini macho yake.
Mungu anajua kuwapigania wanyonge machoni pa watu na kuwsibisha wenye nguvu.
Zelensky ni shujaa wa karne.
 
Tempo: 3/8 "Mpigieni Mungu; kelele za shangwe. Nchi yote imbeni utukufu wake ; Tukuzeni sifa zake Mu-ngu Mkuu. Mwambieni Mu-ngu, matendo yako yanatisha kama nini......." by Felician Nyundo)
Kwani amewamaliza Warusi na jeshi lake Ukraine...
Mwambieni ukuu wako na nguvu zako zinatisha Eee Mungu mkuu.
 
Mungu akiwa upande wako nani atakuwa juu yako?
 
Sisi kama warusi tunacho mfanya zelensky ni kumtesa kabla ya kumuua, hakuna kipigo kibaya Kama Cha kuteswa kabla ya kuuwawa maana ukiuliwa bila kuteswa ni kama unafaidi ndo maan hata binadam huwa wanakimbilia kujinyonga mambo yakiwa magumu
Sasa sisi warusi tumeamua tumvunje kiungo kimoja kimoja tumbandue kucha akiwa hai
 
"Wapiganaji wa Putin waliosalimika kuondoka wakiwa hai, walisepa kimyakimya bila yale mamitambo baada ya kugeuzwa screpa!"
Hawa walipata ka-adhabu ka-dogo ka-kutembea kwa miguu Km. 808 hadi Donbas kwenye ngome yao. Kwa Uchovu huo na mateso mengine, baadhi yao walisepa mazima na tetesi ni kwamba wamejiunga pamoja na kuanzisha kundi linalopigana dhidi ya Urusi linalojiita Legion.
 
Rekodi hii imeandikwa mbinguni kwa wino wa dhahabu.
Mungu ameshinda udhalimu.
Amewapigania wanyonge wake pamoja na kiongozi wao mnyonge.

Ni nani angemzuia Putin na jeshi lake?
Nani angezuia makombora ya Urusi kuharibu na kuteketeza?
Ni Mungu mkuu ameyafanya haya yote.
 
Kwani US iliichukua Iraq kwa siku moja?,hebu jibu kwanza hili sio kuleta ushabiki tu hapa
 
Tangu lini uizunguke nyumba ya adui na uikimbie eti ndio kumtesa?.

Ninyi mlikusudia mabaya juu ya Zelensky na watu wake lakini Mungu anawawazia mema.
Aibu haitawaacha daima.
 
Hata leo siku ya hitimisho ya mfungo bado hauheshimu damu na viumbe vyake Mungu?
Ku wapi uchaji wako?
 
Mkuu; amepunguza pilipili. Zilikuwa ni km. 65 na ndani ya mlolongo huo vikiwemo vifaru, magari ya kivita na magari ya kubeba mizigo na Askari pamoja na Majemedari wao. Na vyote hivyo hatujui viliishia wapi ila hawakufikia Kyiv.

Sio tu hawakufika kiev ila pia hawakurudi Russja nahis walinyakuliwa na Masihi[emoji56][emoji56]
 
bila NATO Kyiv ingekuwa mikononi mwa jeshi la Putin ila Putin nae siku nyingine ajipange vizuri kabla ya kuanzisha vita maana anatukatisha sana tamaa team Kiba
Yeye apigani vita ila anafanya operation, akitumia approach anayotumia Marekani ya uharibifu mkubwa siku nyingi angekuwa amemaliza kazi
 
Kwani amewamaliza Warusi na jeshi lake Ukraine...
Mwambieni ukuu wako na nguvu zako zinatisha Eee Mungu mkuu.
Mkuu; Ulitaka kumaanisha: Kwani amewamaliza Warusi kwa kutumia jeshi la Ukraine ambalo kimwonekano ni dogo na dhaifu? au vp? Fafanua kidogo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…