Diazepam
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,263
- 3,523
Mkuu, hahaha kwamba anaona ishu ya kuliwa ni jambo la kutisha.Kuliwa kupo tu afu usiliwekee kama jambo zito sana.Easy mom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hahaha kwamba anaona ishu ya kuliwa ni jambo la kutisha.Kuliwa kupo tu afu usiliwekee kama jambo zito sana.Easy mom
Na hii post ake kaikopi kule twitterNikisoma mabandiko ya Rose sioni haiba ya kike kabisa,
Pengine na-overthink ila mwandiko wa kike unajulikana hata ukiwa mbali na usawa wa bahari..!!
Bado mdogo...taratibu ataelewaMkuu, hahaha kwamba anaona ishu ya kuliwa ni jambo la kutisha.
Usikute huyu kidume tu fresh kimejibanza pahali kinagonga VANT taratiiib huku kinasubiria nyama choma kikamgegede mtu! LIFE BLUNTLY INSANITYHello jf members,
Ilibaki kidogo tu nijiengue ndani ya jf baada ya kupondwa na wengi kuhusu tatizo langu lililousumbua moyo wangu, lakini ntafanya nini, sikuwa na mtu wa kumlilia, ndo maana niliamua kuanika dukuduku la moyo wangu kwenu nikiamini ningepata kutiwa moyo, lakini ilikuwa tofauti
Shukrani kwa kukubali kujifunza vitu kutoka kwetu ni wanawake wachache ambao upenda kujifunza wengi wao wanapenda kuwa na akili vile vile nimeipenda namna ulivyoandika na namna ulivyojieleza ili nikusaidie kwa huo mtaji wa laki 1 ningependa nijue unatokea mkoa upi? ilinijue nakusaidia vipiHello jf members,
Ilibaki kidogo tu nijiengue ndani ya jf baada ya kupondwa na wengi kuhusu tatizo langu lililousumbua moyo wangu, lakini ntafanya nini, sikuwa na mtu wa kumlilia, ndo maana niliamua kuanika dukuduku la moyo wangu kwenu nikiamini ningepata kutiwa moyo, lakini ilikuwa tofauti
kuhofia kupoteza kazi, kisha nimkabidhi penzi, aumize moyo wangu, nirudi kwenu kulia, mnishushue tena
NB: Samahani kwa mwandiko wangu mbovu
Kijana kichwani upo vizuri sana umempa ushauri wa maana Tena wa bure kabisa bila kulipiwa pesa nimependa ulivyomwambia uwaepuke Wanaume kichwaniYaani uanzishe biashara ili kuepuka wanaume.!??... hao wateja hawatakutongoza.!??... Hio mizigo utakuwa unanunua kwa madada pekee.!??...
Sababu yako ya kuanza biashara haina Mashiko,,, sitegemei kama biashara itastawi...
Kwa Laki moja,,, Kanunue KUKU shekilango,,, wakaange,,, kawauze kwa MWAMPOSA siku ya ibada..,,,au kachukue Dagaa Ferry uje uwauze mtaani kwa mafungu...
Usikurupuke,,, tuliza Akili....
Na ukitaka hela ya Mwanaume tena,,..epuka kutaka mzigo upewe bei cheee au mikopo,,, ,kutaka hela za haraka,safari za bodaboda za mikopo,, ...tofauti na hivyo BASI MWENDO NI ULEULE.... UTATIWA TU,,, so hujatuepuka kwa 100%,,,tuepuke kuanzia kichwani mwako(Msimamo na Jifunze kujitegemea) .. sio Maneno maneno..
Barikiwa
Naelewa ni nini unazungumza ila ndugu kwa kizazi chetu hiki leo unafiki umekuwa mwingi si kwa ke wala me hivyo , jikaze endelea kufanya kazi jikusanye zaidi huku ukiwa unaanzisha biashara binafsi , usikurupike , maana utakuja kujuta .Kuacha kazi ni long plan kaka, sina imani na wenzangu, ukizingatia wengi ni wakina dada kama mimi, unafiki unakuwa mwingi, masimango na kejeli, ukizingatia wenyewe wana vyeo kunizidi
Wivu tu kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikisoma mabandiko ya Rose sioni haiba ya kike kabisa, Pengine na-overthink ila mwandiko wa kike unajulikana hata ukiwa mbali na usawa wa bahari..!!
Kama uko serious na kazi ya kujiajiri binafsi nichekiHello JF members,
Ilibaki kidogo tu nijiengue ndani ya JF baada ya kupondwa na wengi kuhusu tatizo langu lililousumbua moyo wangu, lakini ntafanya nini, sikuwa na mtu wa kumlilia, ndo maana niliamua kuanika dukuduku la moyo wangu kwenu nikiamini ningepata kutiwa moyo, lakini ilikuwa tofauti
Labda utoto still unanisumbua, ni mgeni katika mapenzi, mwanaume pekee ambaye hajaumiza moyo wangu ni aliyenifunza mapenzi, tuliachana kwa amani pasipo maumivu yoyote yale na kwa sababu maalumu
Kwamba pesa ya mwanaume hailiwi bure [emoji3][emoji3] Nalijua hilo, lakini sijui niwaeleze vipi kumhusu huyu mwanaume ili muone kuwa mimi ni mwenye haki
MSAADA NINAO UHITAJI KUTOKA KWENU
Kwa sasa sitaki kutegemea tena pesa za mwanaume yeyote yule, hata za boss wangu (mshahara) sizihitaji tena maake inaelekea atakuja tu kunitaka kimapenzi nikose cha kufanya kwa kuhofia kupoteza kazi, kisha nimkabidhi penzi, aumize moyo wangu, nirudi kwenu kulia, mnishushue tena
Kwa kiasi hiki cha laki moja nilichonacho mkononi sasa hivi, natamani kukifanya mtaji kiasi kwamba hata kesho nianze biashara yangu mwenyewe nikiwa huru, niachane na mambo ya ku supply bidhaa za watu, una drive gari zao wanaishia kukusimanga kuwa pesa za mafuta unakula, mara unachelewesha mizigo, at the end taarifa zinafika kwa boss, badala atake action utamsikia anakwambia "tulia Rose, achana na maneno ya watu" mwanaume hajawahi kuwa mwema kiasi hiki, kuna kitu anakitafuta kwangu, na ni mume wa wake watatu, anakesha club nnavyosikia, siku nyingine anakuja ananukia k vant
Hivyo itapendeza kama mtanishauri biashara ya kufanya kwenye hili jiji la watu kwa kiasi hicho cha laki ili nitengeneze pesa zangu, niishi maisha yangu mwenyewe
Pindi ntakapopokea mshahara tarehe 8 July ntatenga kiasi cha laki mbili ili nifungue biashara nyingine, au nikuze biashara mtakayonishauri kufanya
Sintojari status yangu mtaani, urembo ntatupa kule, aibu nitaitoa machoni mwangu ili mradi najua ninachokitafuta ni kipi, malengo yangu ni yapi
Please, nahitaji ushauri wenu
NB: Samahani kwa mwandiko wangu mbovu
[emoji3][emoji3] hata huyo mwanaume mwenzio aliongea maneno matamu zaidi ya hayoNjoo kwangu upate pumziko la moyo...trust me
23 yrsUna umri gani tafadhali[emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23]jomonNikisoma mabandiko ya Rose sioni haiba ya kike kabisa, Pengine na-overthink ila mwandiko wa kike unajulikana hata ukiwa mbali na usawa wa bahari..!!
I'm different. Jaribu kitu kipya.[emoji3][emoji3] hata huyo mwanaume mwenzio aliongea maneno matamu zaidi ya hayo
nyie sio wa kuaminiwa hata kidogo