Nimejifunza mengi kutoka kwenu, lakini bado nahitaji ushauri

Nimejifunza mengi kutoka kwenu, lakini bado nahitaji ushauri

Yani nakufananisha na mchepuko wangu mmoja anaitwa irene. Kwa jinsi unavyoandika.

Akituma sms kama gazeti Najikutaga namfikiria badala ya kufikiria sms aliyotuma.

Huwa kuna mda akili mnaziazimaga?

Ushauri wangu. Jaribu kuorodhesha vipaumbele vyako.

Mmu
hoja mchanganyiko
biashara

Thread yako kote inaingia.
mh [emoji849][emoji849]
 
Shukrani kwa kukubali kujifunza vitu kutoka kwetu ni wanawake wachache ambao upenda kujifunza wengi wao wanapenda kuwa na akili vile vile nimeipenda namna ulivyoandika na namna ulivyojieleza ili nikusaidie kwa huo mtaji wa laki 1 ningependa nijue unatokea mkoa upi? ilinijue nakusaidia vipi
niko dar es salaam, jiji la watu [emoji3][emoji3]
 
Hello JF members,

Ilibaki kidogo tu nijiengue ndani ya JF baada ya kupondwa na wengi kuhusu tatizo langu lililousumbua moyo wangu, lakini ntafanya nini, sikuwa na mtu wa kumlilia, ndo maana niliamua kuanika dukuduku la moyo wangu kwenu nikiamini ningepata kutiwa moyo, lakini ilikuwa tofauti

Labda utoto still unanisumbua, ni mgeni katika mapenzi, mwanaume pekee ambaye hajaumiza moyo wangu ni aliyenifunza mapenzi, tuliachana kwa amani pasipo maumivu yoyote yale na kwa sababu maalumu

Kwamba pesa ya mwanaume hailiwi bure [emoji3][emoji3] Nalijua hilo, lakini sijui niwaeleze vipi kumhusu huyu mwanaume ili muone kuwa mimi ni mwenye haki

MSAADA NINAO UHITAJI KUTOKA KWENU
Kwa sasa sitaki kutegemea tena pesa za mwanaume yeyote yule, hata za boss wangu (mshahara) sizihitaji tena maake inaelekea atakuja tu kunitaka kimapenzi nikose cha kufanya kwa kuhofia kupoteza kazi, kisha nimkabidhi penzi, aumize moyo wangu, nirudi kwenu kulia, mnishushue tena

Kwa kiasi hiki cha laki moja nilichonacho mkononi sasa hivi, natamani kukifanya mtaji kiasi kwamba hata kesho nianze biashara yangu mwenyewe nikiwa huru, niachane na mambo ya ku supply bidhaa za watu, una drive gari zao wanaishia kukusimanga kuwa pesa za mafuta unakula, mara unachelewesha mizigo, at the end taarifa zinafika kwa boss, badala atake action utamsikia anakwambia "tulia Rose, achana na maneno ya watu" mwanaume hajawahi kuwa mwema kiasi hiki, kuna kitu anakitafuta kwangu, na ni mume wa wake watatu, anakesha club nnavyosikia, siku nyingine anakuja ananukia k vant

Hivyo itapendeza kama mtanishauri biashara ya kufanya kwenye hili jiji la watu kwa kiasi hicho cha laki ili nitengeneze pesa zangu, niishi maisha yangu mwenyewe

Pindi ntakapopokea mshahara tarehe 8 July ntatenga kiasi cha laki mbili ili nifungue biashara nyingine, au nikuze biashara mtakayonishauri kufanya

Sintojari status yangu mtaani, urembo ntatupa kule, aibu nitaitoa machoni mwangu ili mradi najua ninachokitafuta ni kipi, malengo yangu ni yapi

Please, nahitaji ushauri wenu

NB: Samahani kwa mwandiko wangu mbovu
Kumbe una akili, ujidai fyatu wakati ule.
Kwa kuonyesha kuwa una akili mimi kama mzabzab nitakuchangia laki moja ili uongezee kwenye mtaji wako.
Wanawake wa namna hii ndio tunataka na wakijiita super woman tunawaheshimu.
 
Siku hizi hamna washauri humu Kuna wanangaji na wasengenyaji tu,, unajisumbua bure tu,, humu kumejaa majitu sio watu
Acha kumkatisha mwenzio tamaa...mtoto mzuri hivyo hawezi kosa msaada...ata wa kumuondolea stress atapata ni yeyey tuu na akili yake....na mtaji akitaka kuongezewa nitampa
 
Kumbe una akili, ujidai fyatu wakati ule.
Kwa kuonyesha kuwa una akili mimi kama mzabzab nitakuchangia laki moja ili uongezee kwenye mtaji wako.
Wanawake wa namna hii ndio tunataka na wakijiita super woman tunawaheshimu.
Mkuu Antonnia njoo hapa ukazie msemo wako wa pesa ya mwanaume hailiwi bure, maake nimesikia kuna 100k inatakiwa kutoboka kwenda kwa Rosemary 255
 
Nikisoma mabandiko ya Rose sioni haiba ya kike kabisa, Pengine na-overthink ila mwandiko wa kike unajulikana hata ukiwa mbali na usawa wa bahari..!!
Na mimi nimewaza kama wewe. Anamuandiko wa kijana wa kiume ambae anatafuta attention kwenye nyuzi zake.

Naungana na wewe hii ID ya kidume na kuna watu wanavutwa waende pm kuimbisha
 
Na mimi nimewaza kama wewe. Anamuandiko wa kijana wa kiume ambae anatafuta attention kwenye nyuzi zake.

Naungana na wewe hii ID ya kidume na kuna watu wanavutwa waende pm kuimbisha
Unaweza kuta jamaa anaponda hapa ila anazama upenuni kumpiga sound mwanaume mwenzie bila kujua.!
Ila haya maisha jamani..!!

Wanaume wasipopunguza kutumia akili za vichwa vya chini watapigwa matukio mpaka wanyooke.!!
 
Huoni wameanza na kujaa watatuma pesa blah blah.
Wajinga ndio waliwao
 
Mkuu Antonnia njoo hapa ukazie msemo wako wa pesa ya mwanaume hailiwi bure, maake nimesikia kuna 100k inatakiwa kutoboka kwenda kwa Rosemary 255
Trust me!! In one way or the other lazima ilipwe!! 🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
Wachache sana wenye huo moyo ysni wachache mnooooo
 
Trust me!! In one way or the other lazima ilipwe!! [emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214]
Wachache sana wenye huo moyo ysni wachache mnooooo
Mkuu mzabzab ni kweli haya yasemwayo? Maake kuna comment yako post fulani hivi ya huyu binti ulisema pesa ya mwanaume haiendi bure! Ukajaa na sumu kabisa! Imekuaje tena mkuu wetu?

Au Rosemary 255 njoo hapa kwanza utupe uzoefu!
 
Niwe mkweli, mwanamke yoyote yule ambaye kweli anajituma na hakuli hela za mwanaume huyo ata aje anikope nitampa.

Sasa huyu binti kwa kweli naona amejifunza kutokana na post za hapa za wadau. Sasa kama mweli anataka kupambana na maisha mie nipo tayari kumsaidia. Na wala mbususu sitaomba.
 
Seriously,
Inasikitisha sana.!
Kuteka mwanaume ni kitu rahisi sana.!
Wanawake wanaoneana wivu, hataki mwenzie kuona anapewa kipaumbele! Nimeanza kuamini maneno ya Rosemary

Kidogo kauli hii ya Carleen inatia shaka, anaona mwenzie atafanikiwa saaana!

[emoji23][emoji23] Natania bhana! Ngoja niifute hii reply!
 
Hahahaa...!!
Wewe ni kachokozi sana, kioneee.!!
Nendeni huko piemu msituchoshe hebu..!
 
Back
Top Bottom