Nimejifunza mengi kutoka kwenu, lakini bado nahitaji ushauri

Nimejifunza mengi kutoka kwenu, lakini bado nahitaji ushauri

Eti nitafanya biashara yoyote bila kujali status hay njoo uze juice ya matunda na ubwabwa kkoo Kam wezako
 
Kuacha kazi ni long plan kaka, sina imani na wenzangu, ukizingatia wengi ni wakina dada kama mimi, unafiki unakuwa mwingi, masimango na kejeli, ukizingatia wenyewe wana vyeo kunizidi

Wivu tu kwa kweli
Unaacha kazi kwa sababu ya majungu?. You can't be serious, hujui kila kwenye riziki hapakosi fitna za wanadamu?. Be strong c'mon. ACHA KAZI KWA SABABU MALENGO YAKO YAMETIMIA NOT OTHERWISE.
 
Ila kuna wanawake wanakosa wanaume wanaenda kutembea na wavulana....
 
Trust me!! In one way or the other lazima ilipwe!! 🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
Wachache sana wenye huo moyo ysni wachache mnooooo
Antonnia acha kufariji,,,,,, wenye huo moyo Hawapo kabisa,,, Kikao chetu pale Buguruni Malapa hakuna aliyenyoosha kidole kwenye hilo....

Hivyo One day one time,, in a one way or the other,, somewhere and somehow,,, ATAILIPIA tu...
 
yaache yajazane humo piemu kama 'makodoo'..!!
Dunia imeharibika,,, Wala usiwe na shaka Bidada...

Ukiona Mwanaume anajifanya Demu,,, basi ujue kuna Mwanaume pia anampelekea Moto... watu wanakula mzigo Punda,,, Nyani sembuse huyo Mchicha mwiba....

Kama atakuwa ni king'asti kweli,,,, hakika atapelekewa moto na haohao watakaomfuata PM.....
 
Antonnia acha kufariji,,,,,, wenye huo moyo Hawapo kabisa,,, Kikao chetu pale Buguruni Malapa hakuna aliyenyoosha kidole kwenye hilo....

Hivyo One day one time,, in a one way or the other,, somewhere and somehow,,, ATAILIPIA tu...
Kuna wachache watasema wapo eti wacha tuwaachie a very small percent! Majority ni utalipa tu no way!
 
Kuna wachache watasema wapo eti wacha tuwaachie a very small percent! Majority ni utalipa tu no way!
Kuna mwamadada alinikuta kwangu niko mlangoni najiwazia maisha, akanambia nimsaidie 5k akamhudumie mwanae! Nikampa nikachukua na namba yake ya simu nikam beep! Baada ya wiki moja nikawa nafuta spam contacts kwenye simu, nikafuta na namba yake kwa makusudi! issue ya mbususu ikawa imeishia hapo!

Lakini baada ya wiki mbili kupita, demu alinipigia na kujitambulisha kwangu kisha kunambia alikuwa ananijulia hali tu!
 
Hahahahaaaa!!! kuwa rafiki yake tu mkuu au unaogopa mazoea mazoea na wanawake!!??
 
Na mimi nimewaza kama wewe. Anamuandiko wa kijana wa kiume ambae anatafuta attention kwenye nyuzi zake.

Naungana na wewe hii ID ya kidume na kuna watu wanavutwa waende pm kuimbisha
sijapenda maneno yako kaka
 
Wanawake wanaoneana wivu, hataki mwenzie kuona anapewa kipaumbele! Nimeanza kuamini maneno ya Rosemary

Kidogo kauli hii ya Carleen inatia shaka, anaona mwenzie atafanikiwa saaana!

[emoji23][emoji23] Natania bhana! Ngoja niifute hii reply!
[emoji23][emoji23]jamani, we kaka mkorofi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kidogo naanza kurecover na hali iliyonisumbua, naombeni ushauri nifanye biashara ipi ili nijikeep busy na maisha yangu

napenda biashara ya kuondoka asubuhi nyumbani nirudi jioni, nisikelembeshwe na mtu
 
Labda nikupe connection ya mdada mmoja anakaa pale uwanja wa fisi Manzese barabara ya Tandale! Utapiga pesa mpaka ukome!

Au basi, acha tu!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kidogo naanza kurecover na hali iliyonisumbua, naombeni ushauri nifanye biashara ipi ili nijikeep busy na maisha yangu

napenda biashara ya kuondoka asubuhi nyumbani nirudi jioni, nisikelembeshwe na mtu
Sii ukakaange kuku
 
[emoji23]
Mkuu, moshi wa kuku unaweza kuipoteza rangi yake ya asili akawa black Ninja! Mshauri biashara fulani amaizing amaizing!
Kama anataka kazinaje nimpe bodaboda apige mishe kwa siku hakosi buku kumi
 
Back
Top Bottom