Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Tatizo la ghost town lipo dunia nzima hata kama utaboresha vipi na kulipa au kusaidia watu waishi hapo bure.
Shida tunayotaka kuangalia ni nchi kuwa ya mikakati mfano kama ilivyo USA na China ili kubalance maendeleo na fursa sehemu zote.
Ukiwa nchi kama china au USA wamejigawa ndio maana unakuta kiwanda kipo mkoa gani au jimbo gani,vyuo na n.k ili mtu aliyopo sehemu hiyo kujiona naye ana thamani.
Tofauti iliyopo kwa tanzania ndio nataka kueleza.
Jiji kama Dar es salaam limerundikiwa kila kitu ambavyo vengine zilitakiwa kuwa sehemu nyengine kubalance.
Leo elimu nzuri zote zipo dar,viwanda vipo vyote vipo dar,bandari ya kufanya yote dar.
Kidogo JPM alijitahidi kulazimisha mji wa kiserikali kuwa Dodoma.
Jambo jingine ambalo litakuwa gumu kuzibiti jiji la Dar.
Vyuo vikubwa vingi vipo Dar na kitendo cha mwanafunzi aliyekulia kijijini ni jambo gumu kurudi alipotokea sababu ya kuzoea maisha ya hapo.
Upande wa waajiliwa na watumishi waliopo nje ya jiji la dar wanaona kujiendeleza kielimu na vyeo ni rahisi kuwa dar.Ndio maana nafasi kama mkuu wa wilaya na mkoa ukiwa dar ni mafanikio.
Soluhisho:
Vyuo vikubwa vinatakiwa kuvunja baadhi course ,shaada kama degree kuziweka sehemu za mikoa ambayo itakuwa rahisi kuinuka mfano singida,katavi,lindi,mafia na n.k.