Nimejifunza nchi kama China na USA japo ghost town ni ngumu kuzibiti

Nimejifunza nchi kama China na USA japo ghost town ni ngumu kuzibiti

Fursa zipo nyingi kwa nchi.Kuna vitu wenzetu wanapeleka kwa kuvunja population ya watu ili waende kule.Leo cananda inalipa watu wawe sehemu fulani na hata wawekezaji wanapangiwa waende huko sio makusudi ni kuimarisha nchi na maendeleo.Kumbuka space X ilipewa eneo ambao no ghost town.Leo kila mtu anataka kuwepo pale
California ina watu milioni 40, jimbo linalofuatia Marekani ni Texas watu milioni 30, Linalofuatia ni Florida milioni 20.
Canada inaweza kushawishi(sio kupangia) watu waende maeneo fulani kwa sababu serikali inahakikisha miundombinu na huduma zote muhimu zinapatikana. SpaceX ilinunua ardhi, Musk alihamishia Texas kutoka California kwa sababu za kisiasa na kodi.
 
Vyuo kwanza ,na maeneo ya kimkakati kama mipaka .Au we ni mbunge ukajiwekeee nyota bungeni
Vyuo vina mchango mdogo sana kukuza mji, kinachokuza mji ni biashara na viwanda.
Singida kuna chuo lakini mji wa kawaida tu
 
Vyuo vina mchango mdogo sana kukuza mji, kinachokuza mji ni biashara na viwanda.
Vyuo ni kama msingi wa walikuja.Kumbuka USA wazinduzi walitokea sio kwao walikuwa sehemu ya vyo na leo ndio maeneo ya chuo
 
Vyuo ni kama msingi wa walikuja.Kumbuka USA wazinduzi walitokea sio kwao walikuwa sehemu ya vyo na leo ndio maeneo ya chuo
Tanzania ya sasa hivi inahitaji VETA zaidi, vyuo vikuu vilivyopo vinatosha, kinachotakiwa ni uboreshaji zaidi tu.
 
Mchango mkubwa wa serikali katika maendeleo ya miji ni kuweka miundombinu ya barabara, reli, hospital, umeme, maji na sera zinazokuza biashara. Kama mji utakuwa na haya yote ukashindwa kuendelea ni kuachana nao tu, muda wake unakuwa bado.
 
Back
Top Bottom