Mkuu; Umefanya Utafiti au hayo uliyoandika ni kwa maoni yako???Tatizo la ghost town lipo dunia nzima hata kama utaboresha vipi na kulipa au kusaidia watu waishi hapo bure.
Shida tunayotaka kuangalia ni nchi kuwa ya mikakati mfano kama ilivyo USA na China ili kubalance maendeleo na fursa sehemu zote.
Ukiwa nchi kama china au USA wamejigawa ndio maana unakuta kiwanda kipo mkoa gani au jimbo gani,vyuo na n.k ili mtu aliyopo sehemu hiyo kujiona naye ana thamani.
Tofauti iliyopo kwa tanzania ndio nataka kueleza.
Jiji kama Dar es salaam limerundikiwa kila kitu ambavyo vengine zilitakiwa kuwa sehemu nyengine kubalance.
Leo elimu nzuri zote zipo dar,viwanda vipo vyote vipo dar,bandari ya kufanya yote dar.
Kidogo JPM alijitahidi kulazimisha mji wa kiserikali kuwa Dodoma.
Jambo jingine ambalo litakuwa gumu kuzibiti jiji la Dar.
Vyuo vikubwa vingi vipo Dar na kitendo cha mwanafunzi aliyekulia kijijini ni jambo gumu kurudi alipotokea sababu ya kuzoea maisha ya hapo.
Upande wa waajiliwa na watumishi waliopo nje ya jiji la dar wanaona kujiendeleza kielimu na vyeo ni rahisi kuwa dar.Ndio maana nafasi kama mkuu wa wilaya na mkoa ukiwa dar ni mafanikio.
Soluhisho:
Vyuo vikubwa vinatakiwa kuvunja baadhi course ,shaada kama degree kuziweka sehemu za mikoa ambayo itakuwa rahisi kuinuka mfano singida,katavi,lindi,mafia na n.k.
Kusafiri hakuwezi kuwa ni kigezo stahiki kwa hayo uliyoandika.Naelewa sana sababu na safiri.Ndio maana nchi za wenzetu wanafanya juhudi ku balance nchi .Usipo fanya hivyo kuna weza watu kudai wametengwa na kuomba kujitenga
Hapo uko sahihi kabisa bro.Ghost towns ni miji iliyotelekezwa baada ya shughuli fulani kubwa ya uchumi kuisha, Tanzania hatuna ghosts towns.
Serikali ikijenga miondombinu ya barabara na treni miji itakuwa naturally tu, tatizo ni miundombinu.Tatizo la ghost town lipo dunia nzima hata kama utaboresha vipi na kulipa au kusaidia watu waishi hapo bure.
Shida tunayotaka kuangalia ni nchi kuwa ya mikakati mfano kama ilivyo USA na China ili kubalance maendeleo na fursa sehemu zote.
Ukiwa nchi kama china au USA wamejigawa ndio maana unakuta kiwanda kipo mkoa gani au jimbo gani,vyuo na n.k ili mtu aliyopo sehemu hiyo kujiona naye ana thamani.
Tofauti iliyopo kwa tanzania ndio nataka kueleza.
Jiji kama Dar es salaam limerundikiwa kila kitu ambavyo vengine zilitakiwa kuwa sehemu nyengine kubalance.
Leo elimu nzuri zote zipo dar,viwanda vipo vyote vipo dar,bandari ya kufanya yote dar.
Kidogo JPM alijitahidi kulazimisha mji wa kiserikali kuwa Dodoma.
Jambo jingine ambalo litakuwa gumu kuzibiti jiji la Dar.
Vyuo vikubwa vingi vipo Dar na kitendo cha mwanafunzi aliyekulia kijijini ni jambo gumu kurudi alipotokea sababu ya kuzoea maisha ya hapo.
Upande wa waajiliwa na watumishi waliopo nje ya jiji la dar wanaona kujiendeleza kielimu na vyeo ni rahisi kuwa dar.Ndio maana nafasi kama mkuu wa wilaya na mkoa ukiwa dar ni mafanikio.
Soluhisho:
Vyuo vikubwa vinatakiwa kuvunja baadhi course ,shaada kama degree kuziweka sehemu za mikoa ambayo itakuwa rahisi kuinuka mfano singida,katavi,lindi,mafia na n.k.
mbona mwanza walio soma hapi wamebaki hapoThe real issue ni economic opportunities,
ukihamisha degree za vyuo kwenda Katavi au Lindi bila kuhamisha industries na investments graduates wengi bado watahamia Dar baada ya kumaliza masomo yao.
Watu huwa wanafuata opportunities.
Kama kuna opportunities kwanini waondoke?mbona mwanza walio soma hapi wamebaki hapo
Kabadu ndo nini mkuu?we sio kabadu.Maana unakubari alafu ufafanui
We ni kabudu professor wa majalalani .Akili zako ni za mpaka usimuliwe sanaKabadu ndo nini mkuu?
Mbona mdau kafafanua vizuri maana ya Ghost Towns? Ukizitaka hizo ghost towns utazipata kwa wingi huko USA n.k.
Kama ungelisema ghost villages ningekuelewa kwani vile vijiji vilivyosogezwa yale maeneo ya awali yamekuwa "Mahame".(Ref. Operation vijiji Tz. 1970 -1977)
Nadhani neno ghost town limetumika vibaya hapa....Tatizo la ghost town lipo dunia nzima hata kama utaboresha vipi na kulipa au kusaidia watu waishi hapo bure.
Shida tunayotaka kuangalia ni nchi kuwa ya mikakati mfano kama ilivyo USA na China ili kubalance maendeleo na fursa sehemu zote.
Ukiwa nchi kama china au USA wamejigawa ndio maana unakuta kiwanda kipo mkoa gani au jimbo gani,vyuo na n.k ili mtu aliyopo sehemu hiyo kujiona naye ana thamani.
Tofauti iliyopo kwa tanzania ndio nataka kueleza.
Jiji kama Dar es salaam limerundikiwa kila kitu ambavyo vengine zilitakiwa kuwa sehemu nyengine kubalance.
Leo elimu nzuri zote zipo dar,viwanda vipo vyote vipo dar,bandari ya kufanya yote dar.
Kidogo JPM alijitahidi kulazimisha mji wa kiserikali kuwa Dodoma.
Jambo jingine ambalo litakuwa gumu kuzibiti jiji la Dar.
Vyuo vikubwa vingi vipo Dar na kitendo cha mwanafunzi aliyekulia kijijini ni jambo gumu kurudi alipotokea sababu ya kuzoea maisha ya hapo.
Upande wa waajiliwa na watumishi waliopo nje ya jiji la dar wanaona kujiendeleza kielimu na vyeo ni rahisi kuwa dar.Ndio maana nafasi kama mkuu wa wilaya na mkoa ukiwa dar ni mafanikio.
Soluhisho:
Vyuo vikubwa vinatakiwa kuvunja baadhi course ,shaada kama degree kuziweka sehemu za mikoa ambayo itakuwa rahisi kuinuka mfano singida,katavi,lindi,mafia na n.k.
Fursa zipo nyingi kwa nchi.Kuna vitu wenzetu wanapeleka kwa kuvunja population ya watu ili waende kule.Leo cananda inalipa watu wawe sehemu fulani na hata wawekezaji wanapangiwa waende huko sio makusudi ni kuimarisha nchi na maendeleo.Kumbuka space X ilipewa eneo ambao no ghost town.Leo kila mtu anataka kuwepo paleNadhani neno ghost town limetumika vibaya hapa....
Ila una hoja maendeleo yangesambazwa kila mkoa na hub yake na shughuli za uchumi.
Kwa sasa
KILIMO ni Morogoro, Mbeya, Ruvuma
Viwanda: Pwani Dar es salaam
Matunda: Mbeya, Iringa
Mbao: Iringa Njombe
Unachoona Dar es salaam ni biashara zaidi maana unasuppoer ya population. Hamna nchi duniani haina mji mfano wa Dar kitovu cha biashara...
Vyuo kwa sasa vimesambaa kasoro upande wa Kusini na Kigoma huko ndio utata...
Hebu turudi hapa Tanzania.Fursa zipo nyingi kwa nchi.Kuna vitu wenzetu wanapeleka kwa kuvunja population ya watu ili waende kule.Leo cananda inalipa watu wawe sehemu fulani na hata wawekezaji wanapangiwa waende huko sio makusudi ni kuimarisha nchi na maendeleo.Kumbuka space X ilipewa eneo ambao no ghost town.Leo kila mtu anataka kuwepo pale
Ooh! Kumbe! Nilikuwa sijui aisee. Sasa huyo Prof. huko majalalani huwa anafanyaga nini?We ni kabudu professor wa majalalani .Akili zako ni za mpaka usimuliwe sana